Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiburi huzaa majuto,wanaokusifia Leo kesho hutowaona
Leta taarabu za kwenye masaji
Screenshot_20231102_120808_Remix.png
 
Kwani anafanya uongozi ili asifiwe akili za wapi hizi?. So hao wanasifia upuuzi, uzembe na upigaji halafu wanawapetipeti ndio viongozi mnaowapenda 😂😂😂😂.
Wajinga wanashangilia wajinga wenzao 😁😁😁

Huwa hawadumu Hawa wajivuni
 
Kumbe shida, ni Makonda kuwa mkuu wa mkoa??? Yaan, mnapoteza muda bure!

Huyo ni mtumishi wa, Mungu anakwenda kuwa mtu mkubwa sana hapa Bongo. Sijui ndio wenye wivu mtajinyonga.?
Kuna wakuu wa Mikoa wangapi nchi hii? Shida ni yeye kuwa na mdomo mchafu......hatuhitaji kiongozi mshushuaji, yeye mbona alivyoshushuliwa kuhusu vyeti alipita analia lia kila Kona.
Angeweza kumhoji na kuibua madudu bila kuutweza utu wa Yule dada.
 
Kuna tofauti gani kati ya kauli ya Rais Samia aliposema Nosense hadharani kwa watumishi hao hao wa umma..na hiki alichosema Makonda kwa huyu mtumishi? Ni ujinga kutaka hadhi baada ya kukosea, nani anajua madhara ya uzembe uliosababishwa na huyu mtumishi..Kama hupendi matumizi ya lugha ngumu kwa watumishi, waambie wafanye wajibu wao kikamilifu, hutasikia kiongozi anatukana!
 
Sidhani kama ni kiburi ila mambo kama haya hujayazoea na hata ukizoea utaona si sawa kwa mtu kuambiwa ukweli.

Bahati mbaya kuna wengine tuna roho flani flani kwa watu wengine!.
Yaani Mimi nizoee ushenzi? Unaona Mimi naweza kuwa na akili kama hizo zako?

Kwanza Makonda anaweza onyesha uzembe wa yule Madam ni upi Hadi amdhalilishe?
 
Kiburi huzaa majuto,wanaokusifia Leo kesho hutowaona
Alishasema hahitaji sifa anachohitaji watendaji wafanyie kazi kazi ndizo zitaamua

Sehemu zingine ananyamazisha Hadi watendaji wanaotamka Kila dakika mheshimiwa mkuu wa mkoa anasema we niite hata makonda tu Lete ripoti ya Mradi.Hayo ya mheshimiwa kunipamba pamba achana nayo leta ripoti
 
Angeweza kumhoji na kumbananisha kwenye Kona bila kutumia maneno ya kejeli......na bado angefikisha hiyo sinema yake ya uchapakazi Kwa hadhira iliyokuwepo......Ila kuchagiza na maneno ya kebehi ni Ameover act.....movie imekosa mvuto, na amejidhihirisha hana maadili ya uongozi.
Kwa kweli Makonda ana kibri na maneno machafu sana. Na hiki ndicho ambacho watu wanalalamikia.

Hata kama anajiona mchapakazi basi huo uchapakazi wake usiwe chanzo cha kudhalilisha na kubagaza utu wa watu wengine, regaardless of their status in the community or level in civil service.

Kila mtu ana haki ya kuthaminiwa utu wake na kuheshimiwa kama binadamu. Kinyume cha hapo ni ukiukwaji wa katiba na haki za binadamu.

Nawashangaa sana wapuuzi wanaounga mkono udhalilishaji huu.
 
Nani aliizuia kutoa tamko? Kwa hiyo kama hakuna aliyekemea, hiyo ni tiketi tosha kwa Makond kudhalilisha watu? Analipiza kisasi?
Acha kujitoa akili.. mtandaoni huko mange kimambi alikua anaandika nini? Uliona taasisi yeyote ikitoa tamko?..
 
Alishasema hahijitaji sifa anachohitaji watendaji wafanyie kazi kazi ndizo zitaamua

Sehrmu zingine ananyamazisha Hadi watendaji wanaotamka Kila dakika mgeshimiwa mkuu wa mkoa anasema we niite hata makonda tu Lete ripoti ya Mradi.Hayo ya mheshimiwa kunipamba pamba achana nayo leta ripoti
Wapi ambapo watendaji hawafanyi kazi? Wezi wa Nchi hii ni Watendaji wa Umma au Wanasiasa kama Makonda?

Tabia ya kuwafanya Watumishi wa Umma punching bag na njia ya kuji brand ikome na ilianzishwa na Mwendazake
 
Kumbe shida, ni Makonda kuwa mkuu wa mkoa??? Yaan, mnapoteza muda bure!

Huyo ni mtumishi wa, Mungu anakwenda kuwa mtu mkubwa sana hapa Bongo. Sijui ndio wenye wivu mtajinyonga.?
Huyo mama aliyetukanwa hadharani na Makonda ni mwakilishi wa Mange Kimambi? Ndiye aliyemtuma Mange kufanya alichofanya?
 
Wapi ambapo watendaji hawafanyi kazi? Wezi wa Nchi hii ni Watendaji wa Umma au Wanasiasa kama Makonda?

Tabia ya kuwafanya Watumishi wa Umma punching bag na njia ya kuji brand ikome na ilianzishwa na Mwendazake
Na hiyo ndiyo sababu, wanafanya siasa za kuwachonganisha wananchi na watumishi wa Uma huku wao wakijiweka pembeni......Iko siku wananchi wataamka, hawataamini.
 
Haki ipi anayoitetea Makonda? Chukukia jambo liko mahakamani Makonda anaweza kukupa Haki? Huu ujinga utawaisha lini?
Hoja Ni makonda kumdhalilisha yule mwanamke..

Kiuhalisia watumishi mbali mbali wa sampuli hiyo wamekua mwiba na kusababisha serikali kulaumiwa na wananchi

Akitokea kiongozi mmoja mkali wa kutumia lugha ngumu kumkemea na kumuhoji huyo mzembe mmoja Kama ilivyo kwa makonda au kwa kumbukumbu the late JPM kelele zinaibuka nyingi sanaa

All in all Kuna watu hutakiwa ku swagwa Kama mang'ombe au WANYAMA mwitu ili wafanye Jambo makonda yupo sahihi Sanaa
 
Mwiba wapi? Wacha uongo wewe.Swali yule mtumishi pale alizembea wapi? Hayo ya sijui unaleta dharau, dharau gani alizoleta pale?
 
Kama Maganga Katibu Mkuu wa CWT tu na yule Ex DC wa Tabora Komanya walivyodinda naona "Kanda ya Nyonyo" inataka kuandika record ya kutotishwa na hivi vyeo vya mchongo.

Ni kufia unachokiamini tu basi.
 
Back
Top Bottom