Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unadhani Makonda yupo kama ninyi machawa anajivunia uchapakazi. Makonda hata akifungua kanisa apata waumini wengi.

Hata kwenye ujambazi wa kuua watu waliokuwa wanamkosoa Magufuli, alipata wafuasi. Hakuna mwovu anayekosa wafuasi. Uliwahi kusikia kiongozi yetote yule, hata awe mwovu kiasi gani, aliwahi kukosa wafuasi?
 
Mungu habariki dhambi. Muuaji na mporaji wa mali za watu, astahili kuomba baraka yule anayemtumikia, naye ni yule mfalme wa kuzimu.

The return of Makonda itawatesa sana nyumbu nyie
 
Makonda ni shujaa kama walivyo watu wengi wa kanda ya ziwa

Sikiliza pia orodha ya majina yanayotolewa na Polisi wanapotaja majambazi, hasa yanayotumia silaha, halafu tuambie ni kanda ipi inahoongoza kwa kuzalisha majambazi mengi.
 
Sasa ulitaka UWT wakamkamate Mange Kimambi? Mange Kimambi ana laana zake ni wa kupuuzwa kuanza kuyafuatilia mambo yake ni sawa na kusaidia kuyatangaza after all ni wachache walioyasoma. Matusi ya Mange Kimambi hayahalalishi Makonda kuwadhalilisha watumishi wa umma. Kwani hawawezi kutatua kero bila kuwadhalilisha.
Ilitakiwa watoke hadharani kupinga rais kudhalilishwa, hilo la kusema tulitaka waende kumkamata Mange Kimambi ni wazo la mtu mfu anaye ishi, wewe ni mfu
 
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi

Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji

"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli

Source: Clouds media
Hii inabidi ashauriwe aachane nayo kwanza kwa muda tu, halafu atakuja kuiiibua tena huko mbele baada ya uchaguzi wa 2025. Sasa hivi siyo nzuri sana, inaweza ku-fire back kwao CCM halafu ikawaharibia. Hii aitunze kwanza, asiiache
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema hatishiki na kauli zinazotolewa dhidi yake kuhusu kumdhalilisha mwanamke ambaye ni mtumishi wa Serikali wilayani Longido mkoani Arusha.

Amesema anasikia kuna watu wanahangaika na mitandao, kwa umri huo hawezi kutishika na kauli za watu kwani zinambembeleza kama mtu aliyeko kwenye chumba cha 'Massage' huku anapigiwa muziki mzuri kuendelea kupiga spana wazembe wote.

Amehoji walikuwa wapi wakati Rais Samia anadhalilishwa Mtandaoni, na leo kauli yake dhidi ya Mzembe na mla Rushwa mmoja inazua gumzo kubwa.

View attachment 3000635
Sasa kama hatishiki mbona anapiga mayowe kibao? Angeuchuna tu yeye apige mishe zake. Hizi kelele za ni dalili ya umama
 
Back
Top Bottom