TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Sidhani kama ni kiburi ila mambo kama haya hujayazoea na hata ukizoea utaona si sawa kwa mtu kuambiwa ukweli.Kiburi huzaa majuto,wanaokusifia Leo kesho hutowaona
Bahati mbaya kuna wengine tuna roho flani flani kwa watu wengine!.