Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi.
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji.
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli

Kwani anafanya uongozi ili asifiwe akili za wapi hizi?. So hao wanasifia upuuzi, uzembe na upigaji halafu wanawapetipeti ndio viongozi mnaowapenda ππππ.
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele.za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli
Kabla ya kutoa tamka wakati mwingine unatakiwa ufanye cross examination.siyo kila kitu cha kutolea kauli.Makonda ni mkuu wa mkoa ,mwenyekiti wa usalama wa mkoa,anaongoza zaidi ya milioni 2 za watu ,yule dada ni injinia tu ambapo hata mimi ningemtimua kwa sababu fulani.
leo hii tumewaruhusu mabinti wabebe mimba ,wazae ,warudi shuleni .na kushangaza kuna mkoa fulani wametiwa mimba wasichana zaidi ya 198 kwa mwezi mmoja tu.
wakati mwingine unagalia impact ya kiongozi kama taasisi kwenye jamii na siyo personality ya mtu