Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Piga magoti uombeweMnyakyusa gani Zezeta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga magoti uombeweMnyakyusa gani Zezeta.
Wameshajuwa kuwa CHADEMA ni madalali wa siasa.watanzania wameshawajua chadema ni hovyo haitawahi kutokea
watumainia ruzukuWameshajuwa kuwa CHADEMA ni madalali wa siasa.
Acha propaganda za kizushi.weka ushahidi hapa.najuwa mmechaganyikiwa sana baada ya kuona mikutano yake watu wanafurika na kumiminika sana ,mpaka watu wanakosa nafasi ya kusimama kusikiliza hotuba yake.Mnatutesa Bure tu wananchi! Mnakodi mabasi yote ya abiria kisa makonda! Aibu. Kwni hamuwezi itisha mikutano yenu bila kubeba watu?
Tatizo hana akili hivyo hawezi kujua kama anajidharilishaDogo unajidhalilisha sana humu jukwaani. Ni vile tu hujui.
Siku sii nyingi pamoja na uchawa kichaa wake,wakimnyima teuzi,mtamwokota majalalani hivi karibuni🤪Wewe ndiye kichaa kuandika upuuzi kila siku humu. Siku si nyingi utavua nguo na kuanza kula majalalani. View attachment 2893917
Naona ndugu yangu mimi sitafuti kitengo humu jukwaaniMbona umeweka namba ya simu mkuu si wangeweza kukufuata hata pm wakikuhitaji kukupa kitengo [emoji2][emoji2]
Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu.Siku sii nyingi pamoja na uchawa kichaa wake,wakimnyima teuzi,mtamwokota majalalani hivi karibuni🤪
Wewe ndiye huna akiliTatizo hana akili hivyo hawezi kujua kama anajidharilisha
Tukana tu mpaka upasuke maana najuwa moto aliouwasha Mheshimiwa Makonda huko nje ni mkali sanaa ndio maana mnakuja kumalizia hasira zenu humu jukwaani kwa kutukana matusi kama vichaa au wendawazimuPumbavu wewe, huna lengo, wala sina hasira nakuzaru tu, shenzy wewe, humbwa usijibu text zangu, huna hazi ya kunijibu
Kwa hiyo unatafuta kula🤔Mimi sitafuti uteuzi ndugu yangu.
We ndio unafanya propaganda, mi naongea uhalisia nilichokutana nacho hapa stand dakika 20 zilizopita, wapiga debe ndo wanatuambia Leo hakuna magar ya abiria kisa yamekodiwa na ccm kwenye mkutano kusomba watu .Acha propaganda za kizushi.weka ushahidi hapa.najuwa mmechaganyikiwa sana baada ya kuona mikutano yake watu wanafurika na kumiminika sana ,mpaka watu wanakosa nafasi ya kusimama kusikiliza hotuba yake.
Acha kuota ndoto na kuja kuandika ujinga wako .We ndio unafanya propaganda, mi naongea uhalisia nilichokutana nacho hapa stand dakika 20 zilizopita, wapiga debe ndo wanatuambia Leo hakuna magar ya abiria kisa yamekodiwa na ccm kwenye mkutano kusomba watu .
Huyo asili yake ni ya wana kijani,na kawaida ukweli kwao mwiko,binafsi na mfananisha na roboti moja la enzi hizo cocochannel,stroke na waliofanana🤪We ndio unafanya propaganda, mi naongea uhalisia nilichokutana nacho hapa stand dakika 20 zilizopita, wapiga debe ndo wanatuambia Leo hakuna magar ya abiria kisa yamekodiwa na ccm kwenye mkutano kusomba watu .
Usipo ota ndoto usiku,unaruhusiwa kuota mchana ni ruksa.Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda ni Mwamba na chuma kwelikweli,ni field Marshall ,Ni jemedari hodari,ni mpambanaji mwenye moyo na damu ya kipambanaji. Mpaka inafika hatua unasema kwanini hakuingia mapema uwanjani? Lakini unajipa jibu kuwa kila jambo na wakati wake. Na wakati huu ndio ulikuwa umepangwa na Mungu ili Mheshimiwa Makonda aingie kuonyesha kipawa na Karama kubwa ya uongozi iliyopo ndani yake. Alichelewa kuja kwa kuwa Mungu alikuwa bado akimuandaa na kumuweka tayari kuwasemea wananchi wanyonge.ndio maana ujio wake uliitikisa nchi ,milima na mabonde.
Mheshimiwa Makonda tangia ameingia mitaani na kupiga mchaka mchaka wa kazi ya kusikiliza kero za wananchi na kuwapatia majibu, pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM imeleta kilio kwa vyama vya upinzani kama CHADEMA ambavyo siku zote vimekuwa vikitegemea janja janja ya kudandia matukio na kuyafanya kama mtaji wake wa kisiasa.
CHADEMA imepotezwa na kusambaratishwa kabisa mitaani.imezimwa kama taa,imeyeyuka kama mshumaa,imefutika kama moshi,imetoweka kama ukungu na imepotea kama upepo. Husikii habari za CHADEMA wala matukio ya CHADEMA,haieleweki imekwenda kufungiwa katika kabati la wapi.nchi nzima imetekwa na kutawaliwa na ziara za Mheshimiwa Makonda ambazo zimekuwa kimbilio la watanzania wanyonge wenye shida na kero mbalimbali.
Hii ndio taabu na shida ya kutembelea na kutegemea matukio katika kuendesha siasa.siku zote CHADEMA ilikuwa inafanya usanii na ubabaishaji wa kusubiri matukio ndio ilipuke kama moto wa petrol .sasa Mwamba Paul Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na aliyezaliwa kama kiongozi amekuja na siasa za kugusa maisha ya watu,kuzungumza kero na shida za watu,hisia za watu, changamoto za watu na lugha za watu mambo ambayo ndiyo watanzania wanayohitaji kuyasikia masikioni mwao siku zote.
Mheshimiwa Paul Makonda ameingia Mitaani kuwafuta machozi watu,kuwapa faraja, matumaini,furaha ,majibu ya maswali yao pamoja na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.hii ndio sababu Anaendelea kugusa mioyo ya watanzania,kukimbiliwa na wenye shida,kuliliwa na wenye kuhitaji msaada.kwa sababu watu wametambua kifua na moyo wa Mheshimiwa Makonda umebeba huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.wametambua ni mtu wa msaada.ni mtu mwenye moyo wa kusaidia na kugusa maisha ya watu.
Sasa ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuanza kuwaunga mkono CHADEMA? Nani akiunge mkono CHADEMA kinachopendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo? Nani aunge mkono mawazo na mapendekezo hayo ya kilafi,kifisi na yenye kuonyesha uchu na tamaa ya madaraka ya CHADEMA iliyo jaa katika vifua vyao? Nani awaunge mkono CHADEMA ambao siku zote wao wanapigania mambo yatakayowarahisishia wao ukubwa wa mlango wa kuingia bungeni kwenda kula mishahara wasiyoitolea jasho?
Nani awaunge mkono CHADEMA ambao wanasema kazi ya uboda boda ,umama ntilie kuwa ni kazi za laana kama ambavyo alitamka lema? Nani awaunge mkono chama cha namna hii kilichokosa huruma na Upendo kwa watu?
Ndio maana watanzania kwa umoja wao wameamua kuwapuuza CHADEMA na kutofuatilia kabisa habari zao.ndio maana wameamua kuiunga mkono CCM na kuendelea kujiandaa kuipatia kura za ndio katika chaguzi zijazo. Sasa CHADEMA wamebakia wanachungulia ziara za Mheshimiwa Makonda huku mioyo yao ikitokwa machozi bila kukatika wanapoona Mheshimiwa Makonda na CCM wakipata mapokezi ya kishindo yaliyofurika maelefu ya watu wanaohudhuria kwa hiyari yao wenyewe.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.View attachment 2893872View attachment 2893873View attachment 2893875View attachment 2893876View attachment 2893877View attachment 2893879View attachment 2893880
Tukana tu mpaka upasuke maana najuwa moto aliouwasha Mheshimiwa Makonda huko nje ni mkali sanaa ndio maana mnakuja kumalizia hasira zenu humu jukwaani kwa kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu