Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Mimi naongea ukweli na siyo ndoto.Usipo ota ndoto usiku,unaruhusiwa kuota mchana ni ruksa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naongea ukweli na siyo ndoto.Usipo ota ndoto usiku,unaruhusiwa kuota mchana ni ruksa.
Hizi lugha huwa mnazitoa mkiwa njaa Kali dhofli Khali mkiwa Bado hamjalamba teuzi lakini mkishaingia huko mnakuwa mafisi mnakula Hadi mizoga ya nyoka huna tofauti na hilo joka linalofanya maigizo ya akina mzee majuto (R.I.P) unajifanya mweeema kumbe bonge la chui, kumsyangilia mhalifu inamaana unafurahia uharifu na wewe you are likely to be a cunning bandit if not a roberer, ndio nyie mnaofuga majambazi.Nakusamehe bure kabisaa. Mungu aendelee kukujalia maisha marefu yeye heri na amani.uso wake uwe pamoja nawe. Akupiganie , kukutetea na kukulinda dhidi ya maadui zako. Isiwepo silaha yoyote itakayo inuka na kufanikiwa mbele yako.Mungu akufanye kuwa chombo chake kipya cha kueneza upendo na amani hapa Duniani.ukawe mpatanishi kwa watu na faraja kwa watu.
Hakuna mhalifu .acha kuchafua majina ya watu.Hizi lugha huwa mnazitoa mkiwa njaa Kali dhofli Khali mkiwa Bado hamjalamba teuzi lakini mkishaingia huko mnakuwa mafisi mnakula Hadi mizoga ya nyoka huna tofauti na hilo joka linalofanya maigizo ya akina mzee majuto (R.I.P) unajifanya mweeema kumbe bonge la chui, kumsyangilia mhalifu inamaana unafurahia uharifu na wewe you are likely to be a cunning bandit if not a roberer, ndio nyie mnaofuga majambazi.
Nakata tikiti ya Kwenda kutalii 🇺🇸 na kupa Lucas chawa wa mwenye ban yake,Uniletee majibu ofa imepokelewa ama imefunda🤪Hakuna mhalifu .acha kuchafua majina ya watu.
Lucas una kila dalili za kusumbuliwa na ugonjwa wa afya ya akili. Wahi matibabu kwa haraka sana, ukichelewa kidogo tu utafikia hatua ya kuokota makopo.Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda ni Mwamba na chuma kwelikweli,ni field Marshall ,Ni jemedari hodari,ni mpambanaji mwenye moyo na damu ya kipambanaji. Mpaka inafika hatua unasema kwanini hakuingia mapema uwanjani? Lakini unajipa jibu kuwa kila jambo na wakati wake. Na wakati huu ndio ulikuwa umepangwa na Mungu ili Mheshimiwa Makonda aingie kuonyesha kipawa na Karama kubwa ya uongozi iliyopo ndani yake. Alichelewa kuja kwa kuwa Mungu alikuwa bado akimuandaa na kumuweka tayari kuwasemea wananchi wanyonge.ndio maana ujio wake uliitikisa nchi ,milima na mabonde.
Mheshimiwa Makonda tangia ameingia mitaani na kupiga mchaka mchaka wa kazi ya kusikiliza kero za wananchi na kuwapatia majibu, pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM imeleta kilio kwa vyama vya upinzani kama CHADEMA ambavyo siku zote vimekuwa vikitegemea janja janja ya kudandia matukio na kuyafanya kama mtaji wake wa kisiasa.
CHADEMA imepotezwa na kusambaratishwa kabisa mitaani.imezimwa kama taa,imeyeyuka kama mshumaa,imefutika kama moshi,imetoweka kama ukungu na imepotea kama upepo. Husikii habari za CHADEMA wala matukio ya CHADEMA,haieleweki imekwenda kufungiwa katika kabati la wapi.nchi nzima imetekwa na kutawaliwa na ziara za Mheshimiwa Makonda ambazo zimekuwa kimbilio la watanzania wanyonge wenye shida na kero mbalimbali.
Hii ndio taabu na shida ya kutembelea na kutegemea matukio katika kuendesha siasa.siku zote CHADEMA ilikuwa inafanya usanii na ubabaishaji wa kusubiri matukio ndio ilipuke kama moto wa petrol .sasa Mwamba Paul Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na aliyezaliwa kama kiongozi amekuja na siasa za kugusa maisha ya watu,kuzungumza kero na shida za watu,hisia za watu, changamoto za watu na lugha za watu mambo ambayo ndiyo watanzania wanayohitaji kuyasikia masikioni mwao siku zote.
Mheshimiwa Paul Makonda ameingia Mitaani kuwafuta machozi watu,kuwapa faraja, matumaini,furaha ,majibu ya maswali yao pamoja na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.hii ndio sababu Anaendelea kugusa mioyo ya watanzania,kukimbiliwa na wenye shida,kuliliwa na wenye kuhitaji msaada.kwa sababu watu wametambua kifua na moyo wa Mheshimiwa Makonda umebeba huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.wametambua ni mtu wa msaada.ni mtu mwenye moyo wa kusaidia na kugusa maisha ya watu.
Sasa ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuanza kuwaunga mkono CHADEMA? Nani akiunge mkono CHADEMA kinachopendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo? Nani aunge mkono mawazo na mapendekezo hayo ya kilafi,kifisi na yenye kuonyesha uchu na tamaa ya madaraka ya CHADEMA iliyo jaa katika vifua vyao? Nani awaunge mkono CHADEMA ambao siku zote wao wanapigania mambo yatakayowarahisishia wao ukubwa wa mlango wa kuingia bungeni kwenda kula mishahara wasiyoitolea jasho?
Nani awaunge mkono CHADEMA ambao wanasema kazi ya uboda boda ,umama ntilie kuwa ni kazi za laana kama ambavyo alitamka lema? Nani awaunge mkono chama cha namna hii kilichokosa huruma na Upendo kwa watu?
Ndio maana watanzania kwa umoja wao wameamua kuwapuuza CHADEMA na kutofuatilia kabisa habari zao.ndio maana wameamua kuiunga mkono CCM na kuendelea kujiandaa kuipatia kura za ndio katika chaguzi zijazo. Sasa CHADEMA wamebakia wanachungulia ziara za Mheshimiwa Makonda huku mioyo yao ikitokwa machozi bila kukatika wanapoona Mheshimiwa Makonda na CCM wakipata mapokezi ya kishindo yaliyofurika maelefu ya watu wanaohudhuria kwa hiyari yao wenyewe.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.View attachment 2893872View attachment 2893873View attachment 2893875View attachment 2893876View attachment 2893877View attachment 2893879View attachment 2893880
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja.Lucas una kila dalili za kusumbuliwa na ugonjwa wa afya ya akili. Wahi matibabu kwa haraka sana, ukichelewa kidogo tu utafikia hatua ya kuokota makopo.
Kaka zako tulikwisha kukutahadharisha hapo awali kuwa uchawa haulipi. Sasa unaona yanayokukuta! Makala zako hizo ndefu na maudhui yake yaliyojaa pumba zinaonyesha ni za kutoka kwa mtu ambaye "dish" limeyumba
Jifunze kuandika kwa summary. Watu wanashindwa kusoma mada zako kwa sababu ya maelezo mengi ya kujirudia rudiaNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda ni Mwamba na chuma kwelikweli,ni field Marshall ,Ni jemedari hodari,ni mpambanaji mwenye moyo na damu ya kipambanaji. Mpaka inafika hatua unasema kwanini hakuingia mapema uwanjani? Lakini unajipa jibu kuwa kila jambo na wakati wake. Na wakati huu ndio ulikuwa umepangwa na Mungu ili Mheshimiwa Makonda aingie kuonyesha kipawa na Karama kubwa ya uongozi iliyopo ndani yake. Alichelewa kuja kwa kuwa Mungu alikuwa bado akimuandaa na kumuweka tayari kuwasemea wananchi wanyonge.ndio maana ujio wake uliitikisa nchi ,milima na mabonde.
Mheshimiwa Makonda tangia ameingia mitaani na kupiga mchaka mchaka wa kazi ya kusikiliza kero za wananchi na kuwapatia majibu, pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM imeleta kilio kwa vyama vya upinzani kama CHADEMA ambavyo siku zote vimekuwa vikitegemea janja janja ya kudandia matukio na kuyafanya kama mtaji wake wa kisiasa.
CHADEMA imepotezwa na kusambaratishwa kabisa mitaani.imezimwa kama taa,imeyeyuka kama mshumaa,imefutika kama moshi,imetoweka kama ukungu na imepotea kama upepo. Husikii habari za CHADEMA wala matukio ya CHADEMA,haieleweki imekwenda kufungiwa katika kabati la wapi.nchi nzima imetekwa na kutawaliwa na ziara za Mheshimiwa Makonda ambazo zimekuwa kimbilio la watanzania wanyonge wenye shida na kero mbalimbali.
Hii ndio taabu na shida ya kutembelea na kutegemea matukio katika kuendesha siasa.siku zote CHADEMA ilikuwa inafanya usanii na ubabaishaji wa kusubiri matukio ndio ilipuke kama moto wa petrol .sasa Mwamba Paul Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na aliyezaliwa kama kiongozi amekuja na siasa za kugusa maisha ya watu,kuzungumza kero na shida za watu,hisia za watu, changamoto za watu na lugha za watu mambo ambayo ndiyo watanzania wanayohitaji kuyasikia masikioni mwao siku zote.
Mheshimiwa Paul Makonda ameingia Mitaani kuwafuta machozi watu,kuwapa faraja, matumaini,furaha ,majibu ya maswali yao pamoja na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.hii ndio sababu Anaendelea kugusa mioyo ya watanzania,kukimbiliwa na wenye shida,kuliliwa na wenye kuhitaji msaada.kwa sababu watu wametambua kifua na moyo wa Mheshimiwa Makonda umebeba huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.wametambua ni mtu wa msaada.ni mtu mwenye moyo wa kusaidia na kugusa maisha ya watu.
Sasa ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuanza kuwaunga mkono CHADEMA? Nani akiunge mkono CHADEMA kinachopendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo? Nani aunge mkono mawazo na mapendekezo hayo ya kilafi,kifisi na yenye kuonyesha uchu na tamaa ya madaraka ya CHADEMA iliyo jaa katika vifua vyao? Nani awaunge mkono CHADEMA ambao siku zote wao wanapigania mambo yatakayowarahisishia wao ukubwa wa mlango wa kuingia bungeni kwenda kula mishahara wasiyoitolea jasho?
Nani awaunge mkono CHADEMA ambao wanasema kazi ya uboda boda ,umama ntilie kuwa ni kazi za laana kama ambavyo alitamka lema? Nani awaunge mkono chama cha namna hii kilichokosa huruma na Upendo kwa watu?
Ndio maana watanzania kwa umoja wao wameamua kuwapuuza CHADEMA na kutofuatilia kabisa habari zao.ndio maana wameamua kuiunga mkono CCM na kuendelea kujiandaa kuipatia kura za ndio katika chaguzi zijazo. Sasa CHADEMA wamebakia wanachungulia ziara za Mheshimiwa Makonda huku mioyo yao ikitokwa machozi bila kukatika wanapoona Mheshimiwa Makonda na CCM wakipata mapokezi ya kishindo yaliyofurika maelefu ya watu wanaohudhuria kwa hiyari yao wenyewe.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.View attachment 2893872View attachment 2893873View attachment 2893875View attachment 2893876View attachment 2893877View attachment 2893879View attachment 2893880
Huyo ngumbaru hajui kituJifunze kuandika kwa summary. Watu wanashindwa kusoma mada zako kwa sababu ya maelezo mengi ya kujirudia rudia
Akili yake itakuwa sio nzuri.Dogo unajidhalilisha sana humu jukwaani. Ni vile tu hujui.
Heading ilipaswa kuwa, MAKONDA AMVUA NGUO SAMIA, kwani imefika hatua makonda anashindwa kufanya maamzi sababu kubwa ni mama kuwekwa mfukoni na wahuni fulani wanaozamisha taifa letu pendwa,Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda ni Mwamba na chuma kwelikweli,ni field Marshall ,Ni jemedari hodari,ni mpambanaji mwenye moyo na damu ya kipambanaji. Mpaka inafika hatua unasema kwanini hakuingia mapema uwanjani? Lakini unajipa jibu kuwa kila jambo na wakati wake. Na wakati huu ndio ulikuwa umepangwa na Mungu ili Mheshimiwa Makonda aingie kuonyesha kipawa na Karama kubwa ya uongozi iliyopo ndani yake. Alichelewa kuja kwa kuwa Mungu alikuwa bado akimuandaa na kumuweka tayari kuwasemea wananchi wanyonge.ndio maana ujio wake uliitikisa nchi ,milima na mabonde.
Mheshimiwa Makonda tangia ameingia mitaani na kupiga mchaka mchaka wa kazi ya kusikiliza kero za wananchi na kuwapatia majibu, pamoja na kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM imeleta kilio kwa vyama vya upinzani kama CHADEMA ambavyo siku zote vimekuwa vikitegemea janja janja ya kudandia matukio na kuyafanya kama mtaji wake wa kisiasa.
CHADEMA imepotezwa na kusambaratishwa kabisa mitaani.imezimwa kama taa,imeyeyuka kama mshumaa,imefutika kama moshi,imetoweka kama ukungu na imepotea kama upepo. Husikii habari za CHADEMA wala matukio ya CHADEMA,haieleweki imekwenda kufungiwa katika kabati la wapi.nchi nzima imetekwa na kutawaliwa na ziara za Mheshimiwa Makonda ambazo zimekuwa kimbilio la watanzania wanyonge wenye shida na kero mbalimbali.
Hii ndio taabu na shida ya kutembelea na kutegemea matukio katika kuendesha siasa.siku zote CHADEMA ilikuwa inafanya usanii na ubabaishaji wa kusubiri matukio ndio ilipuke kama moto wa petrol .sasa Mwamba Paul Makonda kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara na aliyezaliwa kama kiongozi amekuja na siasa za kugusa maisha ya watu,kuzungumza kero na shida za watu,hisia za watu, changamoto za watu na lugha za watu mambo ambayo ndiyo watanzania wanayohitaji kuyasikia masikioni mwao siku zote.
Mheshimiwa Paul Makonda ameingia Mitaani kuwafuta machozi watu,kuwapa faraja, matumaini,furaha ,majibu ya maswali yao pamoja na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.hii ndio sababu Anaendelea kugusa mioyo ya watanzania,kukimbiliwa na wenye shida,kuliliwa na wenye kuhitaji msaada.kwa sababu watu wametambua kifua na moyo wa Mheshimiwa Makonda umebeba huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.wametambua ni mtu wa msaada.ni mtu mwenye moyo wa kusaidia na kugusa maisha ya watu.
Sasa ni nani mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kuanza kuwaunga mkono CHADEMA? Nani akiunge mkono CHADEMA kinachopendekeza uwepo wa wabunge wawili katika kila jimbo? Nani aunge mkono mawazo na mapendekezo hayo ya kilafi,kifisi na yenye kuonyesha uchu na tamaa ya madaraka ya CHADEMA iliyo jaa katika vifua vyao? Nani awaunge mkono CHADEMA ambao siku zote wao wanapigania mambo yatakayowarahisishia wao ukubwa wa mlango wa kuingia bungeni kwenda kula mishahara wasiyoitolea jasho?
Nani awaunge mkono CHADEMA ambao wanasema kazi ya uboda boda ,umama ntilie kuwa ni kazi za laana kama ambavyo alitamka lema? Nani awaunge mkono chama cha namna hii kilichokosa huruma na Upendo kwa watu?
Ndio maana watanzania kwa umoja wao wameamua kuwapuuza CHADEMA na kutofuatilia kabisa habari zao.ndio maana wameamua kuiunga mkono CCM na kuendelea kujiandaa kuipatia kura za ndio katika chaguzi zijazo. Sasa CHADEMA wamebakia wanachungulia ziara za Mheshimiwa Makonda huku mioyo yao ikitokwa machozi bila kukatika wanapoona Mheshimiwa Makonda na CCM wakipata mapokezi ya kishindo yaliyofurika maelefu ya watu wanaohudhuria kwa hiyari yao wenyewe.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.View attachment 2893872View attachment 2893873View attachment 2893875View attachment 2893876View attachment 2893877View attachment 2893879View attachment 2893880
Siyo kila mtu analipwa kama unavyolipwa kutukanaBashite yuko busy kwa sasa hawezi kupata muda wa kufikiri na kuandika hivi, ninajojua anayegharamia ni Bashite.
Wewe ni mpumbavu sana, Wazazi wako Wana hasara kuliko hasara yenyewe! Tell us about Umeme, maji, madawa, Shule etc, sio Makonda na CHADEMA. Kijana utapevuka liniBado naendelea kukusamehe na kuendelea kukuombea maana najuwa siyo wewe bali ni pepo lililo ndani yako ndio linakutesa na kukutumikisha.
Siyo kila mtu ana njaa kama uliyo nayo wewe.Binadamu akiwa na njaa yaweza kuandika au kufanya lolote lile ili aishi, ukute jamaa sasa ni mwaka wa 4 amemaliza chuo kikuu na yuko kwa dada yake anakula kwa masimango, unadhani katka hali hiyo mtu afanyeje, kibaya zaidi hajajitambua kuwa shida zote hizi za kuwa jobless zimesababishwa na ccm, sidhani kama huyu bwana angekuwa na kazi ya kufanya yenye maana angeweza pata muda wa kuandika huu utumbo.Tumwonee huruma akili yake ndiko inakoishia hapo.
Kama umeumia pasukaaa .Wewe ni mpumbavu sana, Wazazi wako Wana hasara kuliko hasara yenyewe! Tell us about Umeme, maji, madawa, Shule etc, sio Makonda na CHADEMA. Kijana utapevuka lini
Kimsingi unamatatizo ya akili ,,Uwe na adabu wewe .acha kuropoka ropoka kama mgonjwa wa akili.
Kweli?Ndugu zangu Watanzania,