Paul Makonda Mmoja ameisambaratisha na kuizima CHADEMA mitaani

Mnatutesa Bure tu wananchi! Mnakodi mabasi yote ya abiria kisa makonda! Aibu. Kwni hamuwezi itisha mikutano yenu bila kubeba watu?
 
Acha propaganda za kizushi.weka ushahidi hapa.najuwa mmechaganyikiwa sana baada ya kuona mikutano yake watu wanafurika na kumiminika sana ,mpaka watu wanakosa nafasi ya kusimama kusikiliza hotuba yake.
 
Watanzania hawana shida na Chadema Wala CCM
Watanzania wanahitaji maendeleo Hasa sehem za vijijini
Hakuna
Maji
Miondombinu mibovu
Rushwa imekaa kweny taasisi za selikali
Ukosefu wa ajira Kwa vijana wengi
Ubadhilifu wa Mali za umma

Siasa Bora ni zile zinazotoa majibu Kwa wananchi sio kuzima upinzani kaka

Kuna faida Gani kuua Chadema na Bado tu maskini wa kutupwa????

Hao Chadema hawana mbunge hata mmoja Kwann wanawanyima usingizi????

Hoja yako ni nyepesi sana kaka!
 
Mbona umeweka namba ya simu mkuu si wangeweza kukufuata hata pm wakikuhitaji kukupa kitengo [emoji2][emoji2]
 
Pumbavu wewe, huna lengo, wala sina hasira nakuzaru tu, shenzy wewe, humbwa usijibu text zangu, huna hazi ya kunijibu
Tukana tu mpaka upasuke maana najuwa moto aliouwasha Mheshimiwa Makonda huko nje ni mkali sanaa ndio maana mnakuja kumalizia hasira zenu humu jukwaani kwa kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu
 
Acha propaganda za kizushi.weka ushahidi hapa.najuwa mmechaganyikiwa sana baada ya kuona mikutano yake watu wanafurika na kumiminika sana ,mpaka watu wanakosa nafasi ya kusimama kusikiliza hotuba yake.
We ndio unafanya propaganda, mi naongea uhalisia nilichokutana nacho hapa stand dakika 20 zilizopita, wapiga debe ndo wanatuambia Leo hakuna magar ya abiria kisa yamekodiwa na ccm kwenye mkutano kusomba watu .
 
Acha kuota ndoto na kuja kuandika ujinga wako .
 
We ndio unafanya propaganda, mi naongea uhalisia nilichokutana nacho hapa stand dakika 20 zilizopita, wapiga debe ndo wanatuambia Leo hakuna magar ya abiria kisa yamekodiwa na ccm kwenye mkutano kusomba watu .
Huyo asili yake ni ya wana kijani,na kawaida ukweli kwao mwiko,binafsi na mfananisha na roboti moja la enzi hizo cocochannel,stroke na waliofanana🤪
 
Usipo ota ndoto usiku,unaruhusiwa kuota mchana ni ruksa.
 
Tukana tu mpaka upasuke maana najuwa moto aliouwasha Mheshimiwa Makonda huko nje ni mkali sanaa ndio maana mnakuja kumalizia hasira zenu humu jukwaani kwa kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu

Amewasha sanq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…