Paul Makonda Mmoja ameisambaratisha na kuizima CHADEMA mitaani

Hizi lugha huwa mnazitoa mkiwa njaa Kali dhofli Khali mkiwa Bado hamjalamba teuzi lakini mkishaingia huko mnakuwa mafisi mnakula Hadi mizoga ya nyoka huna tofauti na hilo joka linalofanya maigizo ya akina mzee majuto (R.I.P) unajifanya mweeema kumbe bonge la chui, kumsyangilia mhalifu inamaana unafurahia uharifu na wewe you are likely to be a cunning bandit if not a roberer, ndio nyie mnaofuga majambazi.
 
Hakuna mhalifu .acha kuchafua majina ya watu.
 
Hivi kumiliki josho la kuosha mbwa inagharimu kiasi gani
 
Lucas una kila dalili za kusumbuliwa na ugonjwa wa afya ya akili. Wahi matibabu kwa haraka sana, ukichelewa kidogo tu utafikia hatua ya kuokota makopo.

Kaka zako tulikwisha kukutahadharisha hapo awali kuwa uchawa haulipi. Sasa unaona yanayokukuta! Makala zako hizo ndefu na maudhui yake yaliyojaa pumba zinaonyesha ni za kutoka kwa mtu ambaye "dish" limeyumba
 
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo viroja.
 
Jifunze kuandika kwa summary. Watu wanashindwa kusoma mada zako kwa sababu ya maelezo mengi ya kujirudia rudia
 
Heading ilipaswa kuwa, MAKONDA AMVUA NGUO SAMIA, kwani imefika hatua makonda anashindwa kufanya maamzi sababu kubwa ni mama kuwekwa mfukoni na wahuni fulani wanaozamisha taifa letu pendwa,
Makonda kusimama na kusema anatamani nafasi ya uenezi angeipata enzi za jpm manaake ni kwamba , hapati ushirikiano unaotakiwa ili kusafisha takataka zote zinazoitafuna nchi.
 
Binadamu akiwa na njaa yaweza kuandika au kufanya lolote lile ili aishi, ukute jamaa sasa ni mwaka wa 4 amemaliza chuo kikuu na yuko kwa dada yake anakula kwa masimango, unadhani katka hali hiyo mtu afanyeje, kibaya zaidi hajajitambua kuwa shida zote hizi za kuwa jobless zimesababishwa na ccm, sidhani kama huyu bwana angekuwa na kazi ya kufanya yenye maana angeweza pata muda wa kuandika huu utumbo.Tumwonee huruma akili yake ndiko inakoishia hapo.
 
Bashite yuko busy kwa sasa hawezi kupata muda wa kufikiri na kuandika hivi, ninajojua anayegharamia ni Bashite.
 
Bado naendelea kukusamehe na kuendelea kukuombea maana najuwa siyo wewe bali ni pepo lililo ndani yako ndio linakutesa na kukutumikisha.
Wewe ni mpumbavu sana, Wazazi wako Wana hasara kuliko hasara yenyewe! Tell us about Umeme, maji, madawa, Shule etc, sio Makonda na CHADEMA. Kijana utapevuka lini
 
Siyo kila mtu ana njaa kama uliyo nayo wewe.
 
Wewe ni mpumbavu sana, Wazazi wako Wana hasara kuliko hasara yenyewe! Tell us about Umeme, maji, madawa, Shule etc, sio Makonda na CHADEMA. Kijana utapevuka lini
Kama umeumia pasukaaa .
 
Kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…