Paul Makonda Mmoja ameisambaratisha na kuizima CHADEMA mitaani

Kwani kulikuwa na mdahalo unaendelea kati ya vyama hivyo viwili??
Ulifanyika lini mpaka lini??
Nani alisimamia ??
 
Wameshajuwa kuwa CHADEMA ni madalali wa siasa.
Huwezi kupata sifa mpaka utaje chadema???
Hatuwezi kutaja maendeleo bila kutaja chadema??
Unasifia chama chenye Raisi,Mkuu wa majeshi, Polisi nk na chama kisicho na chochote!!!!
TUNAHITAJI WANASIASA NA SIO WENYE NJAA KWENYE MAJUKWAA..
 
Kwani kulikuwa na mdahalo unaendelea kati ya vyama hivyo viwili??
Ulifanyika lini mpaka lini??
Nani alisimamia ??
CHADEMA walikimbia mdahalo kwa kumuogopa Mheshimiwa Makonda,ambapo alipowafuata mitaani huko wametimua mbio kali sana kwenda kujificha kama panya.
 
Uchaguzi huru na haki ndiyo utathibitisha hayo, tofauti na hapo ni porojo tu

Paul Makonda Mmoja Ameisambaratisha na kuizima CHADEMA mitaani - na pia kama CCM yote inamtegemea Makonda mmoja.......!​

 


Wale wajinga jinga watakuwepo hata mkiweka mti. Kuna watu ni wazito tu ambao ndiyo wafuasi wake. Watu waelewa hawawezi kupoteza muda na huyu jamaa
 
Huyu anajibana kujaribu kurudisha kitambi ndani, lakini imeshindikana

 
Hata Magufuli aliwajk kusema kuwa CHADEMA imekufa imebaki kutikisa mkia tu ,Lakini baadaye aligundua kuwa si kweli mpaka kupeleka babilion ya sh yanatumika kununua wapinzani na kudill na upinzani, pesa za wananchi ambazo zilipaswa kujenga nchi.
 
Hivi huyu jamaa mna hakika ana akili timamu kweli?
Mtu ambaye amepatikana kwenye mkesha wa mwenge atapateje kuwa na akili,bimkubwa alikuwa bwaxi na walengaji walikuwa chicha lazima hiyo product itakuwa na mtindio wa ubongo.
 
Wewe nyau nasikia unaharisha hadi umetoka bawasiri
 
Ur fucking full of shit kwenye maendeleo ya watu
 
Upuuzi mtupu
 
Bado tu huamini kilichotokea mlimani city ? Duuh ama kweli sikio la kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…