Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hatuoni?Sio kweli hiyo ni siasa tu makonda aliiba nini !? Na ninani kwenye siasa msiyemwita mwizi? Nyinyi machagadema?
Sio za umma tu hadi za watu binafsiLabda mageuzi ya kuiba mali za umma kwa kasi
WeweTutolee upumbavu wako hapa. Hao vijanan wadogo wenye roho za kishetani hawafai hata kuwa uraiani. Huyo Hapi asiye na nidhamu kiasi cha kutukana wastaafu hafai. Lengai ninaweza kumtaja kama laana ya taifa. Lengai ni kijana mshenzi zaidi kuwahi kutokea kwenye uongozi wa CCM na serikali.
Uko sahihi kabisa. Tukiwa 40 ndo tutaweza kumfikia kwq roho mbaya aliyo nayo. Kati ya wewe na Makonda nani anamkaza mwenzake?Wewe una roho ya mungu kurungu wewe? Kwa makonda watu kama wewe muwe 40 ndio mtafikia robo ya makonda
Wewe
Kwa maadili gani? Kumpiga Mzee Warioba? Kumdhalilisha Mzee lowassa kuwa katelekeza mtoto?kuvamia clouds? Kumteka Ben saa 8 na kumpoteza? Kumteka Roma Mkatoliki?Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.
Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.
Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
Inasikitisha sanaMmh! Nchi yetu itakuwa kama Haiti kwa uhalifu.
Siyo bure utakuwa unapasuliwa wewePaul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.
Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.
Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
Punguani.Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.
Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.
Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
Upuuzi mwingine huu.Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.