Paul Makonda na vijana wenzake ndio kizazi kilicho bora zaidi kitakacholeta mageuzi makubwa

Wewe una roho ya mungu kurungu wewe? Kwa makonda watu kama wewe muwe 40 ndio mtafikia robo ya makonda
Wewe
 
Wewe una roho ya mungu kurungu wewe? Kwa makonda watu kama wewe muwe 40 ndio mtafikia robo ya makonda

Wewe
Uko sahihi kabisa. Tukiwa 40 ndo tutaweza kumfikia kwq roho mbaya aliyo nayo. Kati ya wewe na Makonda nani anamkaza mwenzake?
 
Kwa maadili gani? Kumpiga Mzee Warioba? Kumdhalilisha Mzee lowassa kuwa katelekeza mtoto?kuvamia clouds? Kumteka Ben saa 8 na kumpoteza? Kumteka Roma Mkatoliki?
 
Siyo bure utakuwa unapasuliwa wewe

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Punguani.
nchi ikabidhiwe majambazi[emoji846][emoji846]
 
Upuuzi mwingine huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…