Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

kweli makonda kwa sasa akipata hata unaibu waziri mkuu ana uezo wa kupiga biti wezi nchi nzima wengine waoga sana.
 
Yaani makonda ni mwamba kwelikweli mfano kwenye ipokeaji wa ndege waandishi wengi waliacha kuelezea kuhusu ndege wakachua hotuba ya makonda
Majaliwa hajasikika
Nkimbi katibu ccm hajasikika
Waziri wa hajasikika
Mkurugezi wa ndege hajasikika
Nk nk
Hbr zilikuwa ni makonda tu
 
Yaani makonda ni mwamba kwelikweli mfano kwenye ipokeaji wa ndege waandishi wengi waliacha kuelezea kuhusu ndege wakachua hotuba ya makond...
Na ndiyo habari hizo hizo zimegharimu uenezi wake,kwa hiyo waandishi wamefikia lengo.
 
Huu ndio ukweli ambao baadhi ya watu watapinga .

Pamoja na makando kando yake yote , bado ndiye mtanzania mwenye ushawishi zaidi .

Sioni mwanaccm ukitoa mpina anayeweza kufanya mkutano bila kutumia nguvu ya kuleta watu zaidi yake .

Nadhani hata CCM wamelitambua hilo na watamtumia vilivyo .

Swali :- nini kimefanya apate ushwawishi huu ?​
 

Bila shaka ulitaka kuarifu ni kijana pekee barani mwenye RB ya beberu?
 
Sahihi kabisa Lucas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…