MuuajiNdugu zangu Watanzania,
Kuna wakati mwanasiasa kijana kutokea Afrika ya kusini Julius Malema alionekana kama ndiye kijana jasiri zaidi hapa Barani Afrika na ambaye alikuwa ...
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MuuajiNdugu zangu Watanzania,
Kuna wakati mwanasiasa kijana kutokea Afrika ya kusini Julius Malema alionekana kama ndiye kijana jasiri zaidi hapa Barani Afrika na ambaye alikuwa ...
Naunga mkono hojaUnafanya political laundering, tuko na wewe mguu kwa mguu, ukiweka tunaweka, huyo ni jambazi wa kisiasa
Lazima washike adabu wale wazembe na wavivu wavivu.
Ukaolewe na makonda umzalie mtoto wa kiume awe maarufu kama baba yake ububujike machozi ya furahaNimeacha nafasi ili anayetaka kuweka namba yake aweke tu
Itapendeza sanaUkaolewe na makonda umzalie mtoto wa kiume awe maarufu kama baba yake ububujike machozi ya furaha
Na ndiyo habari hizo hizo zimegharimu uenezi wake,kwa hiyo waandishi wamefikia lengo.Yaani makonda ni mwamba kwelikweli mfano kwenye ipokeaji wa ndege waandishi wengi waliacha kuelezea kuhusu ndege wakachua hotuba ya makond...
Ni mjamzito wa leo au kesho wanangojea ajifungue salama ndiyo watamfikiria.We jinga Bado TEUZI ujapata tu mpaka bwana wenu katumbuliwa [emoji2][emoji2]
Ze kungunizz ktk ubora wake!😃😃😃Shikamoo.Nitamsalimu sana na nitamwambia amshukuru Sonko kwa kumuunga mkono.Lakini pia amshukuru Mungu wake aliyempangia kuwaongoza wasenegal wakati huu.
utakuwa umemaliza form seven by that thinking!Huu ndio ukweli ambao baadhi ya watu watapinga .
Pamoja na makando kando yake yote , bado ndiye mtanzania mwenye ushawishi zaidi...
Paul Makonda ni Mwamba KwelikweliHuu ndio ukweli ambao baadhi ya watu watapinga .
Pamoja na makando kando yake yote , bado ndiye mtanzania mwenye ushawishi zaid...
Huu ndio ukweli ambao baadhi ya watu watapinga .
Pamoja na makando kando yake yote , bado ndiye mtanzania mwenye ushawishi zaidi .
Sioni mwanaccm ukitoa mpina anayeweza kufanya mkutano bila kutumia nguvu ya kuleta watu zaidi yake .
Nadhani hata CCM wamelitambua hilo na watamtumia vilivyo .
Swali :- nini kimefanya apate ushwawishi huu ?
Sahihi kabisa LucasNdugu zangu Watanzania,
Kuna wakati mwanasiasa kijana kutokea Afrika ya kusini Julius Malema alionekana kama ndiye kijana jasiri zaidi hapa Barani Afrika na ambaye alikuwa akilitetea hata Bara zima la Afrika hususani vijana wa ki Afrika, na kwa hakika wengi walitamani kuwa kama kijana huyo anayeongoza chama cha EFF kwa sasa, na ambaye amewahi kuwa mwanachama wa ANC na kiongozi wa vijana wa ANC kabla ya kufukuzwa uwanachama,Lakini kwa sasa kibao kimegeuka kabisa.
kwa sasa Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ndiye Mwanasiasa kijana anayetajwa kuwa jasiri sana kuwahi kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Ni jasiri kwelikweli mithili ya wale makomandoo waliopikwa na kuivishwa kisawasawa kijeshi na kimedani kutoka Marekani waliokwenda Pakistani kwenda kupambana katika ngome ya Gaidi namba moja Duniani Osama Bin laden huku Rais wao akiwa anawatizama kutokea ikulu ya whitehouse Marekani namna wanavyopambana huku wakiwa wamelibeba Taifa lao mabegani mwao.
Haijapata kutokea hapa nchini kwa miaka ya hivi karibuni kuona kijana ambaye jina lake likitajwa kwenye taarifa ya mkurugenzi mkuu wa mawasiliano ya Rais ikulu katika uteuzi wa aina yoyote ile linatetemesha ,kutikisa na linateka habari zote mitaani,vijiweni,makanisani,virabuni, bar, shuleni, masokoni,viwanjani na kuzima mijadala yote mitaani inayokuwa inaendelea na kubakia yeye tu akitamba na kutawala katika medani za kisiasa ,utafikiri jeshi la Tanzania lilipokuwa linaingia katika ardhi ya Uganda kumsaka kwa hasira na uchungu mkali huku mioyo yao ikibubujikwa machozi ya hisia kali za uzalendo ili kumnasa Nduli Iddi Amini Dada.
Makonda ni Mwamba ni Mwamba kwelikweli ni Jabali la siasa ni fundi wa siasa, ni komando. Ni field Marshall wa siasa za Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
Ni kivutio na mfano halisi wa kijana jasiri na mzalendo wa kweli. Jina lake tu ni kama Taasisi ,ni mkubwa kuliko Sacco's kama CHADEMA nzima.
Anao ushawishi ambao sijapata kuuona wala kuushuhudia ,anakubalika utafikiri pesa. Ana nguvu iliyo kubwa sana ndani yake. Akiunguruma nchi nzima inatikisika na kubaki ikifanya mjadala tu juu yake.
Mwamba Makonda anazima na kufunika hadi habari za simba na yanga? Huyu mwamba siyo mtu wa kawaida, Mungu amempatia kibali cha kipekee kabisa na Karama ya uongozi.ndio maana ya kuona na kushuhudia namna alivyo na ushawishi na nguvu kubwa ya kisiasa.
Hata ukimtizama anapozungumza tu unaona kabisa huyu ni zaidi ya kiongozi,ni kiongozi mwenye mamlaka tokea ndani yake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2951049View attachment 2951052View attachment 2951055