Pre GE2025 Paul Makonda ni Karata ya muhimu kwa Rais Samia kuelekea uchaguzi wa 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duh πŸ™„ !
😱 Japo mimi sidhani kama nitakuwa hai wakati huo lakini ninaomba Mungu awaongoze watakao kuwepo Taifa lisifike huko !! πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kuhusu Makonda kuwa na maadui wengi kwa anacho kufanya ni kweli kabisa, Na pengine Samia kafanya hivyo makusudi ili wake maadui zake wapate kazi ya kushughulika na adui mpya ambaye ni Makonda, Yaani kitaalamu ni kuwa unamtengenezea adui wako maadui wengi ili kumpunguzia nguvu.
 
Sahihi kabisa. !
 
Natamani sana Mwinyi Jr ndio apewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…