Paul Makonda ni kiongozi kijana jasiri/ energeticist

Unahisi hizo sababu zinaweza wafanya ACT au CDM kumkataa asiwe mwanachama wao?!
 
Njaa haijawhi mwacha mtu salama,....... ujasiri wake ni kuitukana familia ya JK kwamba wanauza madawa ya kulevya na kusahahu kwamba ndiyo waliomwinua mpaka akajulikana, hivi bila Ridhiwani Kikwete nani angemwona huyu jamaa? Fadhila ni muhimu sana ndugu, ndiyo maana pamoja na kwamba Magufuli amekua rais lakini huwezi kumsikia hata siku moja anamdhihaki Mkapa au Lowasa wazi wazi pamoja na kwamba Lowasa alikua upinzani, anafahamu wamemtoa wapi. Lakini huyu Bashite hata Magu akiondoka madarakani anaweza kuja kumzodoa na yeye, kwani nani alijua kwamba anaweza kuja kuidhihaki familia ya Kikwete?
 
Pia ni kiongozi mwenye hips na makalio makubwa, aliyehitaji msaada wa wachina kupata mtoto!
 
Ni bashite au makondakta tuanzie hapo kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUDA huu si wa darasani? Unafundisha saa ngapi?
Nakusaidia wewe mdogo wangu maana siasa zilikusababisha ukadisco udom na mama Mbene ahadi zote alizokupa za kukupeleka nje kusoma zikaotambawa na akakutema kama bigiji.........kama hujamaliza shule maliza kwanza dogo,siasa ipo tu
 
Hata uandike kitabu kikubwa namna gani, huwezi kumuosha huyu hayawani wako. Makonda anabakia kwenye madaraka kwa vile analindwa na anayemtuma. Makonda amehusika katika mauaji ya Ben saanane, utekaji wa Roma Mkatoliki, mashambulizi ya Tundu Lissu, utekaji wa Mdude Chadema na mauaji ya Azory Gwanda.

Wala usimwite Jasiri bali sema hana mshipa wa fahamu ya ubinadamu. Kwenye kutaka madaraka anaweza kufanya chochote kama ambavyo alimshambulia Mze Joseph Snde Warioba mwaka 2014. Huwezi kusema huu ni ujasiri. Huyu Makonda mwenyewe hata jinsia yake haiaminiki kwakuwa yasemekana ni shoga vilevile.
 

Alienda kusomea ujinga ndio maana anajianika juani
 
Makonda alikutwa na scandal ya kutumia jina sio lake anaitwa Albert Bashite kanusha.
Alishawahi kuingiza macontena vila kukopa ushuru. Nisha
Alishawahi kufanya MELI ambayo inakuja kila mwaka ya machina kwamba kaleta yye. Nisha.
Ni yeye aliyevamia kituo cha clouds akiwa na mitutu usiku nathibitisha.
Ni yeye huyu Liagiza miguu bandia bula kuwapima wahusika ipo pale .nathibtsha.
Alijaza makundi ofisini kwake bila kuwa na solution? Unakumbuka mtt fake wa lowasa? Huwezi kumbuka hii? Anamiliki elegance hotel sinza Mori.hili nalo hujui?
Alisema angejenga ofisi za walimu dar yote sm? Twambie alijenga wapi?
NIWA KUTILIWA MFANO KWA WAPUUZI TU HUYO MAKONDA
Makonda ni kiongozi wa kupigiwa mfano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…