Paul Makonda ni kiongozi kijana jasiri/ energeticist

Hapo kwenye ushoga bhana....
Any way acha nisome coment kwanza
 
Unajua maana ya energeticist ? Maana unajiandikia tu hata maneno ambayo hujui.ungetumia tu kiswahili.


 
Elegance hotel, hii makonda ameinunua, amepora ama alijenga?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alisikika akisema hapa ndani unaezap kuta wametuwekea biological weapons
 
Ebu peleka upuuzi huu kwenu huko

In God we Trust
 
Tuache porojo za mitandaoni, wanaompinga Makonda wanamjua ushupavu wake, hawampingi kwa udhaifu wake bali uhodari na ushupavu.
Kuna mstari mwembamba sana kati ya Chuki na Mapenzi,Heko Makonda.
 
Tupe mrejesho kwenye ile list ya madawa nani yuko jela amefungwa.
 
Zero brain alishafutwa kwenye ulimwengu wa kiroho kisiasa, hakubaliki duniani wala mbinguni toka lini gunia la misumari likatazama kesho.Atazamae kesho hawezi tembea gizani
 
Watu wajinga uwa ni majasiri sana...!!
Wanaongea bila kuchunga ndimi zao...!!
Wapo kwa ajili ya kulinda vyeo na matumbo yao...!!
Watafanya kila kitu ili mabwana zao waendelee kuwaamini...!?
Watu wajinga wenye ujasiri wa kijinga ni fedheha kila waendako..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…