Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwenu ni wapi vile.Hata kijijini kwetu wale vijana waliotoka familia duni kabisa leo hii wako juu;
Sijui umetumia vigezo gani lakini bado naamini hamfikii kwa vituko, kupiga dili za kisiasa na kilimwengu kuliko MKUU WA Mkoa mstaafu. Mzee Yussuf Makamba.jina la Paul Makonda limekuwa maarufu kuliko la mkuu wa mkoa mwingine yeyote nchini.
Usiseme ndala za rangi tofauti , sema changamoto ya viatu .
Ameonesha kuwa kujipendekeza wakati mwingine kunalipa.
Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dsm!Hivi huyu makonda ni nani zaidi ya Kuwa mkuu wa mkoa, maana kuna matukio maovu ambayo anahusishwa nayo lakini hatuoni jitihada zozote zinazofanyika juu yake, kwa mfano kuna shutuma ya kuvamia ofisi za clouds media, pamoja na shutuma zilizotolewa na taifa la marekani, hizo Ni baadhi tu lakini ufuatiliaji wake kutoka kwenye vyombo au mamlaka husika hauonyeshi jitihada