msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Anayway, hatushangai. Kuwa RC sio lazima uwe msomi. Hicho ni cheo cha kisiasa hata darasa la saba unaweza kuwa RC. Sia kubwa ni kuwa mkereketwa, kujipendekeza kwa wakuu na kufanya mambo yanayokifurahisha chama tawala, hata kama hayana logiki na yanapingana na mashauri ya wataalamu.
Ila tungependa kuona CV yake
hapo ndo nimepawaza... labda muandishi kwa njia nyingine alikua anatuambia hana elimu ya kutosha... au ndo vile tena elimu haijalishi unapokuja kiongozi.. yananichanganya hata cjui kipi ni kpi???