- Thread starter
- #41
Hii yote ni kwa sababu dogo kawashika pabaya ndo maana wanaanza kuongea vitu visivyo hata na maana
hajafanya chochote! rejea maneno ya Kamishina aliyeteuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii yote ni kwa sababu dogo kawashika pabaya ndo maana wanaanza kuongea vitu visivyo hata na maana
Ata mie naona lilo gazeti lilitaka kumdhalilisha kwani wachimba mchanga siyo watu,yani magazeti mengine ni yakufungia mandazi tu .
Ameonesha kuwa kujipendekeza wakati mwingine kunalipa.Kam alipitia huko ameonyesha njia ya kufanikiwa ukiwa na malengo,,,ameonyesha hakuna kinachoshindikana chini ya jua ukiamua kuwekeza muda,akil,nguvu na mungu akikusimamia
Hizo ndizo sifa za viongozi wa nchi tunazozitaka. Asilimia 99% ya watanzania ni masikini na wanaishi maisha aliyoishi Makonda na Magufuri. Viongozi wa nchi wanatakiwa kutoka kundi hili. Hawa ndiyo watatutoa kwenye umasikini na unyonge wetu.Kwangu mm Kutoka Mchimba mchanga na mkata mkaa mpaka RC is a very inspirational journey.
Concern yangu ni akumbuke tu alikotoka, dhamana aliyopewa isimfanye asahau alikotoka.
Dhamana aliyopewa na kauwezo alikonako kiuchumi kwa sasa visimfanye ajione kama kashushwa Kutoka mbinguni.
Hizo ndizo sifa za viongozi wa nchi tunazozitaka. Asilimia 99% ya watanzania ni masikini na wanaishi maisha aliyoishi Makonda na Magufuri. Viongozi wa nchi wanatakiwa kutoka kundi hili. Hawa ndiyo watatutoa kwenye umasikini na unyonge wetu.
Usitegemee viongozi wa nchi waliotokea familia za matajiri wakubwa na watoto wa watawala/ marais wanaweza kututoa kwenye matatizo yetu maana hawayajui wala hayawahusu. Sitaki kutoa mifano ya viongozi waliotokana na kundi hili la watoto wa matajiri/ watawala nisije nikapata matatizo bure.
All in all, those are the qualities we need in choosing or selecting our leaders including in our national elections for our political leaders. We need more Makondas.
Kama kichwa cha Habari kinasadifu yaliyomo ndani basi tunajanga kubwa la wahariri wengi kutojari maadili ya taaluma zao. Kichwa cha habari kinatia kichefuchefu. Binadamu huzaliwa mtupu. Vitu vyote na vyeo au hadhi tunakutana navyo kwa bahati/by chanceHabari wakuu!
Gazeti la RAIA mwema Leo limetoka na habari kuu yenye kichwa cha habari Makonda ni nani? Yule mchimba mchanga, mkata mkaa?
View attachment 470671
Na mimi nauliza ndiye yule au mwingine?
chanzo: gazeti la RAIA mwema
Mmesoma kilichoandikwa au mnalaani tu hata bila kujua wameandika nini. What kama wanamsifia kua katoka huko hadi alipofika ni mfano wa kuigwa? Don't judge the content from the headingAta mie naona lilo gazeti lilitaka kumdhalilisha kwani wachimba mchanga siyo watu,yani magazeti mengine ni yakufungia mandazi tu .
Mmesoma kilichoandikwa au mnalaani tu hata bila kujua wameandika nini. What kama wanamsifia kua katoka huko hadi alipofika ni mfano wa kuigwa? Don't judge the content from the headingAta mie naona lilo gazeti lilitaka kumdhalilisha kwani wachimba mchanga siyo watu,yani magazeti mengine ni yakufungia mandazi tu .
Nilishasema haka ka jamaa kana asili ya u primitive ktk damu.Ameonesha kuwa kujipendekeza wakati mwingine kunalipa.
Kam alipitia huko ameonyesha njia ya kufanikiwa ukiwa na malengo,,,ameonyesha hakuna kinachoshindikana chini ya jua ukiamua kuwekeza muda,akil,nguvu na mungu akikusimamia