BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Nadhani hakuja haja ya kufichaficha na kutokwa povu kubwa, ungesema tu "WEWE KAMA TEAM KIBA IMEKUUMA MAKONDA KUWA MLEZI WA WCB"
maneno kama "vepeee " au "sio kwa maneno hayo" au xaxa badala ya sasa hutumiwa na wanawake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu vepee makonda n mlezi wa w.c.b kutokana na kujituma n kujitolea kwa jamii mfano ni cku ya usafi w.c.b tulijitokeza kulisafisha jiji kwa moyo mmoja vipi nyie timu kibakuli n alisasema atatoa support kwa wasanii waliomsupport cku ya usafi c wanaom support wakickia kuna sherere tu
Mlijitokeza?????? Duh wabongo kwa kupenda kujijumuisha noma.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovu vepee makonda n mlezi wa w.c.b kutokana na kujituma n kujitolea kwa jamii mfano ni cku ya usafi w.c.b tulijitokeza kulisafisha jiji kwa moyo mmoja vipi nyie timu kibakuli n alisasema atatoa support kwa wasanii waliomsupport cku ya usafi c wanaom support wakickia kuna sherere tu
Nahisi alimaanisha kutoa haja kubwaWeka wazi wanakunywa kitu gani maana vimiminika vipo vya aina nyingi.
Nikiwa nafikiria jibu ingieni humu mpige kura tulete tuzo ya BET nchini kupitia Diamond
Best International Act: Africa
Timu kibakuli mapovu ya nin wakati nyinyi kweny mishe za makonda mnajifany wajuajiNinapata mashaka na capability yake ya kiungozi, anajinasibu kama mtetezi wa sanaa lakini upande wa pili kuna harufu mbaya ambayo nimeanza kuihisi, Nyie mfatilien tu mtajua nyendo zake, kwa sasa hana tofauti na babu tale au salam, Meneja si meneja yani haeleweki, Ikitokea WCB wamefanya jambo yupo so quickly kutoka kwenye media na kutoa back up either kupongeza au kusema neno juu ya hilo, Fatilien page zake kwny social networks mtaelewa hiki kitu, Anataka kutuaminisha kuwa mafanikio yeyote ya wcb ndio mziki kukua ila mafanikio ya wasanii wengine haoneshi response yeyote, Sasa hebu atuieleze yeye ni kiongoz wa kitaifa aliyepo kwa ajili ya sanaa na wasanii wote au yupo pale kwa ajili ya WCB?
ndio unataka na pichaMlijitokeza?????? Duh wabongo kwa kupenda kujijumuisha noma.
Cjui hiiii cv alitoa wap yakua mkuu wa mkoa hapa,ndo jpm alipobugMkuu wa mkoa wa Dar.
madam quality ya hyo nywele[emoji7] [emoji7]Mkuu wa mkoa wa Dar
Umeskia znatolewa na KTM ndo akamwagiliwe ataenda na kurud pua chinNikiwa nafikiria jibu ingieni humu mpige kura tulete tuzo ya BET nchini kupitia Diamond
Best International Act: Africa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] asantemadam quality ya hyo nywele[emoji7] [emoji7]
Hivi kumbe makonda ni Mzee? Kwa sababu ni mkuu wa mkoa kawa Mzee tayari na si size ya kajala wala kidoti? Aiseeeeeee!!!Makonda ataua vijana wengine njaa. .hii haijakaa poa sana! ..ameanza kushare hata na vijana. ..ilikuwa kajala now kuna vitetesi anapumzika kwa kidoti
Umeskia znatolewa na KTM ndo akamwagiliwe ataenda na kurud pua chin