Paul Makonda nimekumisi

Kwa kweli wala HATUJALIKUMBUKA
 
Ni aibu kwa mwanaume mtu mzima kumtamkia mwanaume mwenzake eti "nimekumisi"
 
Walimu kupanda daladala na treni bure 😁
Huko ni kiwadharirisha tu, yani mwanafunzi ambaye hana kipato alipe nauli kisha Mwalimu apande bure?

Mimi ningekuwa Mwalimu nisingekubali udhalilishaji huu ningelipa nauli kama kawaida.

Napinga hata mapolisi na wanajeshi kupanda bure madaladala, watowe privilege hizo ATC ili wanajeshi wapande bure ndege tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…