Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Ruge alikukataa makonda wazi wazi.
Hadi The Late magu akajaribu kum-please ruge akusamehe ila yule mwamba alikaza.
Rest in peace muongoza njia. Hakika ulikuwa mwanaume mwenye misimamo.
 
Kwahiyo ukiwa kiongozi unafanya covering up watu wakiwa na vimeo? Waandishi wako serious kweli na maswali?
 
Webmaster toeni hizi topic za kichawa na kijinga wakati huu wa maafa
 
Kwa nini kamtaja Ruge mtu aliyefariki ambaye hawezi kuhakikisha madai haya?
True, kwa kuongezea ruge aliwai kusema mdogo ake makonda alikosea...ruge akasema yeye anasimama upande wa PROFESSIONALISM.
Makonda anajikosha sababu Ruge hayupo na hawezi kukanusha madai ya makonda.
 
Mkuu Mindyou ,asante kwa bandiko hili Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu
Naunga mkono hoja ya Makonda na niliwahi kusema humu mengi kunhusu mtu huyu na miongoni mwake ni haya 。。。
P
 
Makilikili VS Shilawadu
 
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Paul Makonda katika mkutano wake na waandishi wa habari, mwandishi wa habari wa Azam Tv Ivona Kamuntu, aliuliza swali kuhusu picha zilizosambaa mtandaoni zikimuonyesha Makonda akiwa na walizi wake waliokuwa na silaha akivamia kituo cha habari cha Clouds Tv.

Bw. Makonda amesema hajawahi kuvamia kile kituo cha habari bali alikwenda pale kama kawaida kwa kuwa alikuwa akiandaa video za miaka 2 ya ukuu wake wa mkoa na kutokana na wakati ule kulikuwa na mambo mengi yakiendelea basi wale ambao hawakuwa na nia nzuri na yeye walitumia video hizo kumchafua.
 

Attachments

  • 1731900142515.jpg
    259.3 KB · Views: 1
Hata katika jaribio la kumuua Lissu hakuhusika alikuwa amejibanza kwa mbaali kuhakikisha vijana wake wanafanya kazi kama walivyopangwa.
 
Swali kwa nini anatumia nguvu kubwa sana sasa hivi maana haya maswali ni ya muda mrefu sana mpaka akawekewa vizingiti vya kusafiri USA na Washirika wake maana alipotaka kwenda China ubalozi walimwambia malizana kwanza na USA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…