Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?
Aseme tu walikuwa wanataka KUCHAKACHUA ..... Editing gani inafanywa na Makonda na askari wale. Huo utaalamu Bashite aliupata wapi!!?
 
Huyu bwanamdogo anapenda sana attention. Si ajabu anatamani janga la Kariakoo lingetokea Arusha ili apate mileage. Hopeless kabisa.
 
Back
Top Bottom