Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

SIMLIKUWA MNATAKA KUJUWA UKWELI SASA MNAHANGAIKA NINI TENA
 
Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Kwamba alikuwa anaenda kuwapa kinga dhidi ya makosa yao ? Duh kweli nchi ina wenyewe.....Hii nchi tungejitangaza tu kwamba ni nchi ya kifalme tuachane na huu unafki wa demokrasia uchwara.
 
"Watatoka bila aibu na kuukana ukweli hadharani."-2 Waheshimiwa 2:19
 
Bwana makonda uwadanganye wakulima wenzio walio mjini hutaweza kuwadanganya. Ulishawahi sikia/kuona wapi mkuu wa mkoa akienda studio usiku? Wanaojua wanakuchora tu
 
Hili ni jambazi kabisa! hata kamati ya uchunguzi ilipotaka kulihoji lilikimbia likaenda kwa basha wake (Magu) sorry baba yake kulalamika ndipo Nape akavamiwa na mbwa aliyemtolea bastola!!
 
Ndipo ijulikane kuwa Makonda si mnafiki au la. Maneno yake yanatosha kumjua.
 
🤣🤣🤣
Kijana mwenzetu ana miaka 42 hivi kwa mambo aliyoyafanya atafikisha hata miaka 50 kweli ?
 

Huyu Jamaa ni MHUNI .... sasa Magufuli alipowaita jukwaani yeye na Ruge ili kuwapatanisha alikuwa anafanya hivyo kwa sababu gani...!!?

JAMAA kaongeoa uongo mwingi sana. Inakuwaje afanye kampeni ya kutoa Matibabu Dar wakati Rais nyuko IKULU Dar kwa tukio kubwa la Kitaifa.
 
JF MEMBER TUTAFUTE CONNECTION NA HELA TUACHE MAJUNGU
 
Huu upuuzi akawaambia washamba wenzake huko Kolomije. Huyu anatakiwa awe jela akisubiria kunyongwa hadi afe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…