dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Kwasasa kiongozi ni mmoja tu "Makonda". Wengine wote ni wezi! Hizo nafasi na ofisi walimokaa walienda kuloga kwa mashetani na mizimu hivyo wapo kutimiza masharti ya mashetani! Wizi! Dhuruma! Ufisadi! Ukabila! Majivuno na majisifuNi yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine
Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao
Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Makonda no role model kiutendaji kwa vijana wengi kama sisi!Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine
Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao
Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Anachokifanya, hakina maana Sana, maana Mambo mengi anayokutana nayo yamesababishwa na taasisi zilizopo, MTU kazulumiwa ardhi,kaenda mahakamani, hakimu kahongwa, akakosa haki yake,shida kama hii huwezi, kuitatua kwenye moutqno wa hadhara! Kwa ufupi anapnyesha failure ya mifumo ya Samia,Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine
Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao
Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Mtoa mada huwajui wabongo?
Ngoja niishie hapa!
Mteue awe waziri mkuu wa familia yako inatosha kabisa.Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine
Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao
Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu
Sawa ata akifanya na media ila kazi si inaonekana ...Shida yake anataka kufanya kazi na live media...na kupigiwa makofi. Ila ni kweli kuna mambo anajitahidi kufanya tofauti.
Wengi wamekaa maofisini kula na kuvimbiwa tu. Sio kutumikia umma wa watanzania
Makonda anafanya usanii wa kisiasa. Watu wenye upeo mdogo wa kuona mambo ndiyo wanaaona kuwa anafanya vizuri. Anatumika na Samia kuteka bongo za watu wenye ufinyu wa mawazo, wasiojua nchi inaendeshwaje na kwa kwa nini kuna mgawanyo wa madaraka, kazi na kazi za mihimili ya utawala.Ni yey pekee anaoneka Yuko serious ktk shida za raia tofauti na wengine
Kila maahali anako kwenda anapokelewa na maelfu ya raia wenye shauku ya kumuona na kumlilia awatatulie shida zao
Nikiwa rais namteu awe waziri mkuu