Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Huyu ni mtu wa kubebwa hawezi kujisimamia mwenyewe. Alijisahau na kuamua kujiuzulu (RPC DSM)na kuchukua form ya ubunge hapo ndipo alipotakiwa kujua kuwa yeye ni mtu wa kubebwa. Makonda kama anaweza uongozi agombee ubunge apate uongozi wa kuchaguliwa na sio kuteuliwa. Hakuna kiongozi hapo na ajichunge maana kupelekwa Arusha ni mtego lakini yeye anajisahau na kujiona kafika.
 
Asalaam aleykum Genta.....huyo wampeleke Iraq au Lebanon akawe balozi.....
Ila mkuu nakuomba ukuje kwa jukwaa la sports......Simba yetu haieleweki kama umeme wa tanesco!!!!!!
 
Asalaam aleykum Genta.....huyo wampeleke Iraq au Lebanon akawe balozi.....
Ila mkuu nakuomba ukuje kwa jukwaa la sports......Simba yetu haieleweki kama umeme wa tanesco!!!!!!
Nakuja baadae na Hasira yangu juu ya Tajiri Kibyongo ambaye Kutwa anatufanya wana Simba wote ni Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wajinga ( Mazozola )
 
Hiki ulichoandika kina uhalisia mwingi, ingawa upokeaji utategemea na aina ya akili ya mpokeaji na uwezo wake wa kutafsiri mambo.
Huyo Makonda anaenda kutumika kama onyo kwa wengine wote.
Kuwa makini unapoaminishwa kwamba hakuna kama wewe, na kwamba hauna mbadala. Hata “Jiwe” ili lihamishiwe kwenye makao ya kudumu walianza kuliaminisha kuwa lenyewe ni kubwa na gumu sana, wakalisifia mno, mpaka kule kwenye ukumbi wa machifu , wakaagizwa uangaliwe utaratibu machifu wafanye taratibu za kimila ili jiwe lijengewe kabisa ili lisihamishwe kwenye lile eneo lilipokuwepo.
 
The guy is very Stupid and unfortunately he doesn't know it.
 
Kwani Arusha Kuna nini pale. Acha vitisho wewe. Huo usera ndezi wa Arusha ndio umtishe mteule wa Rais ! Arusha pa kawaida sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…