Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

The Sokoine of Modern Times
 
Bashite.......in Ngwaji voice 😀
 
Siamini kama ule ndio msimamo wa Rais kutoka moyoni, Makonda ni "mtoto" wa Rais hata kama hajatamka hadharani, ni vigumu sana pamoja na makandokando yote yanayojulikana wazi Rais amemrudisha enzini, haiwezekani Rais pamoja na vyombo vyake asijue rekodi nzuri ya bwana Makonda ya kutuhumu watu bila ushahidi, eti leo amwamini, ule ni mchezo wa mama na mwana kwenye forum waliyotengeneza maalum kwa kazi hiyo,Sokoine amefariki mwaka 1984 lakini maadhimisho ya kwanza yamechukua miaka 40
 
90% waliokuwa wakimchekea JPM na kumuimba mitano tena , 89% among them walikuwa wanafiki na wakikaa pembeni wana msnitch. Hata ma’am alikuwa anampigia JPM makofi, but deep down , it wasn’t that way . Hiyo ndio CCM ! Chama cha Majambazi!
Mpk hapo umeua. Hata mm sasa nakubali kuwa hao mawaziri wapo na ni kweli wanamtukana mama.

Walikuwa njama moja na Makonda lkn Makonda baada ya kushushwa cheo kaumia sana, naye ameamua liwalo na liwe.
 
Vingereza vyote hivi ni vya kumsifia zyapunga Paul Makonda?
 
Acha kumwagia sifa za kiutukufu mwanaume mwenzio ambaye cha ajabu unamwita “boy”. You are full of shit!
 
Acha kumwagia sifa za kiutukufu mwanaume mwenzio ambaye cha ajabu unamwita “boy”. You are full of shit!

Kwahiyo umeona neno boy au ? Japo siamini katika Jesus , lakini napenda story za bible , Jesus was betrayed by the person who was just right to his nose.

Dogo hukumuzuku, you should learn kuwa wasaliti hawatoki mbali

Kuwa na kiakili dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…