Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Makonda ni kijana mzuri sana

Namwombea kwa Mungu amtumie huyu kijana kwa ajili ya Tanzania
Ombea mzazi wako sio hawa wafhulumati. Huyo mpiga filimbi ni mcheza ngoma yeye vigelegele yeye mkata mananiliii yeye.
Ni mchafu sawa na hao anaowatuhumu
Anasema sababu anajua ndiyo mnayotaka kusikia
 
Kipi kizuri kimoja tu alichokifanya ambacho unaeza sema ona ile,huyo mjanjamjanja tu,ndo maana magu alimshtukia akampiga chini,anatumia njia ya kijuana na viongozi
Msamehe tu huyo aliyesema ni mzuri. Tatizo wabongo anayepiga porojo ndio anaonekana mtenda kazi zaidi.
 
Mungu ambariki Makonda, sisi watanzania we are proud of you! Wewe ndiye unayeielewa Tanzania ya sasa. Bravo! Mungu akulinde e Makonda
 
Ye mwenyewe amesahau nguvu zake.,?
 
Are you for real bro?
 
Aliyechora katuni ya cardinal pengo namna ile anatafuta laana
 

Ukikosa ufahamu kila tukio utalichukulia kama lilivyopangwa na muandaaji.

Maigizo ya Makonda yanawalenga watu wasiotafakari wala kuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua mambo. Na hata viongozi anaowatumia ama ni wale kiuhalisia, anaona ana uwezo wa kuwahadaa au anaamini wana tamaa ya fedha. Ndiyo maana anawaalika, anawalipia gharama na kisha kuwazawadia bakshishi ya pesa. Kama angekuwa na dhamira ya kuomba toba, alistahili aende akatubu kwa familia ya Ben, Azory, Lisu, GSM, Manji, Mo na wengine wote aliowafanyia uharamia.

Lengo la Makonda kuwaalika viongozi wa dini kwa kile kinachoitwa kumpa baraka ni usanii na hadaa tupu. Kutokana na uwezo wake mdogo kichwani, anaamini akiwaalika hao viongozi atajisafisha na yale mambo yake yanayofahamika kuwa yeye ni uuaji, mtekaji, mpotezaji watu, na mporaji wa mali za watu. Anaamini tabia zake hizi chafu za kishetani, zitafutika kwa kupiga picha na viongozi wa dini!!
 
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani

Makonda amewashukuru sana vijana hao kwa upendo na amewataka wasijiite Wadudu kwa sababu wao wameumbwa kwa mfano wa Mungu wa Mbinguni

Nawatakieni Dominica njema
 
Bangi tu hizo wana uwezo gani wa kuujaza uwanja hao wahuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…