Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wapo wanaoiita jehanam ni mbingu ya shetani. Muuaji mbingu yake ni jehanam.Mungu wa mbinguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wanaoiita jehanam ni mbingu ya shetani. Muuaji mbingu yake ni jehanam.Mungu wa mbinguni
Ulikwishawahi kumsikia kichaa akiwaambia watu kuwa yeye ni kichaa? Ukiwa na tatizo la akili kama ulilo nalo, unaweza ukawa unafikiroa una akili kuliko watu wote.Mimi ni mzima wa afya kabisa
Wapi huko?Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko bahati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.
Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.
Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana ilikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Kumtetea yule Mama ni kumkosea mungu.Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nimeamua niwe chawa wa dini yangu, binaadam hakusaidii kitu baada ya Umatilla kukufika. Lkn aaa dini ukifa ndio msaada wakoUchawa naye ni kipaji 🤔
Tapeli kama chama chake kilivyo tapeliNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko bahati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.
Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.
Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana ilikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Naona uchawa unawafanya kumkufuru Mungu, toka lini ikawa dhambi kumchukia mwanasiasa Samia? Ina maana nyie CCM mmeongeza amri za Mungu sasa amri ya kumi na moja inasema:Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko bahati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.
Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.
Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana ilikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Kama kweli ni mzima tuambie kule mbinguni aliyemchukulia fomu ya kugombea urais Samia ni nani? Mungu, Yesu, Eliya, malaika Gabriel? Tutajie na pesa ya fomu alipokea nani?Mimi ni mzima wa afya kabisa
Mungu na wahalifu wapi na wapi? Naona amepata jukwaaa la kujisafisha hivyo anamtaja Mungu akidhani tutamuona ni mcha Mungu. Damu za alizozimwaga atalipia hapa hapa duniani.Mungu wa mbinguni
Ukifia dini unapewa wanawali bikra 72 Huko jongomeo 🤔Mimi nimeamua niwe chawa wa dini yangu, binaadam hakusaidii kitu baada ya Umatilla kukufika. Lkn aaa dini ukifa ndio msaada wako
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko bahati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.
Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.
Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana ilikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Wapagani huwa hawana hofu na Mungu wa mbinguni. Wao wana miungu yao wanayoipa heshima kubwa.Tutumie majina yote kujifananisha au kumfananisha mtu lakini tuache kabisa kumtaja Mwenyezi Mungu Kwa sababu iwayo yoyote maana atajibu Kwa uwezo wa jina lake. Hapo tuseme ukweli Mwenezi Makonda kakosea na kabla ya kuruhusu ghadhabu ya Mungu kushuka basi aambiwe ukweli atubu
For sure ukimchukia Rais Samia ndio anapendwa Zaidi...Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko bahati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.
Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.
Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana ilikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Siku hizi umekuwa CHAWA wa Paul Makonda!! Unahangaika sana mdogo wangu.Ndugu zangu Watanzania,