Pre GE2025 Paul Makonda: Ukimchukia Rais Samia unamkosea Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wapi huko?
 
Kumtetea yule Mama ni kumkosea mungu.

Angalia watu wanatembea na mabango nchi nzima !

Urais yule bibi hawezi na hata kampeni hawezi kufanya na hajui kuomba kura.
 
Tutumie majina yote kujifananisha au kumfananisha mtu lakini tuache kabisa kumtaja Mwenyezi Mungu Kwa sababu iwayo yoyote maana atajibu Kwa uwezo wa jina lake. Hapo tuseme ukweli Mwenezi Makonda kakosea na kabla ya kuruhusu ghadhabu ya Mungu kushuka basi aambiwe ukweli atubu
 
Tapeli kama chama chake kilivyo tapeli
 
Naona uchawa unawafanya kumkufuru Mungu, toka lini ikawa dhambi kumchukia mwanasiasa Samia? Ina maana nyie CCM mmeongeza amri za Mungu sasa amri ya kumi na moja inasema:
11. Usimchukie Samia maana keshakuwa Yesu mwana Mungu.
Pumbavu mlifikia wakati mkamwita Magufuli mheshimiwa mungu.
Sasa mnasema mbinguni wamemchukulia Samia fomu ya kugombea urais huko mbinguni.
 
Mimi ni mzima wa afya kabisa
Kama kweli ni mzima tuambie kule mbinguni aliyemchukulia fomu ya kugombea urais Samia ni nani? Mungu, Yesu, Eliya, malaika Gabriel? Tutajie na pesa ya fomu alipokea nani?
Maana CCM sasa ni kukufuru tuu.
 
Mimi nimeamua niwe chawa wa dini yangu, binaadam hakusaidii kitu baada ya Umatilla kukufika. Lkn aaa dini ukifa ndio msaada wako
Ukifia dini unapewa wanawali bikra 72 Huko jongomeo 🤔
 


Ni kweli, maana hakika huyo mungu wa makonda ni kenge.
 
Wapagani huwa hawana hofu na Mungu wa mbinguni. Wao wana miungu yao wanayoipa heshima kubwa.
 
For sure ukimchukia Rais Samia ndio anapendwa Zaidi...
 
Siku hizi umekuwa CHAWA wa Paul Makonda!! Unahangaika sana mdogo wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…