Kijana wa gekuli ndio nani huyo.Hisia hizo kali za hotuba ya Makonda ni pamoja na yule kijana mwathirika wa Pauline Gekul?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Utamuua wewe? Wewe ndiye Mungu?Mmeanza maneno yenu ya kufuru,mnataka afe sio?
Acha matusi wewe.Uwendawazimu wa mtu mmoja anaitwa Punguani Mwashambwa.
Acha kuchafua watu kwa kuandaki vitu usivyo na ushahidi navyo.Upuuzi mtupu. Ama kweli mtu ukikosa akili, unakosa hata aibu.
Kama kuna mtu alitoa machozi, yumkini alimkumbuka Ben Sanane, na kustaajabu kuona muuaji anatamba majukwani bila ya kuwepo wa kumfikisha kwenye vyombo vya sheria.
Mungu wetu, tunaomba laana itembee daima na mtu huyu na kizazi chake chote kwa uovu alioutenda na hadaa anazoendelea kuzifanya. Atembelee viongozi wote wa dini, apande mikokoteni na hata punda, lakini milele asipate amani moyoni mwake.
RIP Ben Sanane, RIP Azory Gwanda, na amani na mafanikio yaambatane na Tundu Lusu. Na zaidi ya yote, tunaomba utukufu wa Mungu uzidi kudhihirika dhidi ya mtu huyu na wale wote wenye kuambatana naye.
Mheshimiwa Makonda ni akili kubwa na mtu mwenye maono makubwa sanaPicha ya watoa machozi iko wapi wewe malaya wa akili?
Huyo zero brain mwenyewe wakati wa maporomoko ya udongo Hanang hakwenda alikua SA huko.
Hiyo Sio" Mungu" bali "mungu" anzia herufi ndogo. Mungu ukianzia herufi kubwa manake Mungu Mwenyezi muumba mbingu na dunia!Mungu wa CCM au?
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa hapo jana huko babati Mkoani Manyara ametoa hotuba ya mwaka,hotuba iliyoteka na kugusa hisia za watu,hotuba iliyowafanya watu washindwe kujizuia machozi na hivyo kujikuta wakibubujikwa na kutiririka machozi kutoka katika macho yao,hotuba iliyoacha historia na kuwatia moyo wana babati.
Ni baada ya kusema kuwa Ukimchukia Rais Samia unakuwa Unamkosea Mungu Mwenyewe,kwa kuwa Rais Samia alijipangia kuishi maisha ya kawaida kabisa na wala hakuwahi kupanga wala kuwaza kuwa makamu wa Rais wala Rais wa Tanzania.lakini Mungu na mipango yake alipanga iwe hivyo kwa kumuinua na kumpa umakamu wa Rais na baadaye Urais.
Mheshimiwa Makonda aliendelea kusema kuwa hata yeye hapo alipo kwa sasa ni mipango ya Mungu Mwenyewe aliye juu na wala siyo mipango yake,maana alikuwa tayari yupo nje ya msitari. Aliendelea kuzungumza huku wananchi wakitekwa na hotuba hiyo iliyojaa hisia kali sana na mguso wa aina yake kwa kusema kuwa hata wao wasikate tamaa na wajipe moyo na wala wasiumie wanapodharauliwa na mtu.
Kwa hakika Mheshimiwa Makonda ni mtu ambae ukisikiliza hotuba zake lazima uguswe sana ndani ya moyo wako, ni mtu anayezungumza toka ndani kabisa ya moyo wake, ni mtu anayeongea na kuzungumza kwa kugusa hisia za watu,anaongea uhalisia wa maisha, anazungumza kile kinachogusa yale yaliyopo kwa watu na wananchi.ndio maana watu wanafurika na kumiminika sana kwenye mikutano yake.
Ni mtu ambae ukimsikiliza unapata matumaini na nguvu kubwa sana ya kusonga mbele kimapambano,anatia moyo na faraja sana.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Ww mwenyewe ulivyomsoma kwanza najua umecheka sana 😂😂😂
Siku hizi umekuwa CHAWA wa Paul Makonda!! Unahangaika sana mdogo wangu.
Mimi ni msema kweli ninayemuunga mtu yeyote anayefanya vyema katika kutimiza majukumu yake. Ninaendelea na Nitaendelea kumuunga mkono pia Mheshimiwa dkt Tulia Acksoni MwansasuAlijisajili kuwa chawa wa Tulia, naona hakifanikiwa kama alivyotarajia.
Mimi kazi yangu ni kusema ukweli pale mtu anapofanya vyema kazi na majukumu yake.Siku hizi umekuwa CHAWA wa Paul Makonda!! Unahangaika sana mdogo wangu.
Hayo ni mawazo yako kutokana na ujinga uliokujaa kichwani mwako.Anahangaika ili angalao atafutwe apewe japo kazi ya kumtandikia meza muuaji.
Tangia lini umekuwa msemaji wa Mungu juu ya hukumu."Mimi ni Mungu mwenye wivu"
Ukuu wa Mungu hauchangamanishwi na yeyote. Huyu ounguani anaitafuta laana ya Mungu. Anachokitafuta atakipata. Mungu huwa hachelewi, wala hakawii, hutenda kwa wakati wake.
Mbona hata vichaa huwa wanatembea na mabango?Kumtetea yule Mama ni kumkosea mungu.
Angalia watu wanatembea na mabango nchi nzima !
Urais yule bibi hawezi na hata kampeni hawezi kufanya na hajui kuomba kura.
Wa chama pendwa lakiniMbona hata vichaa huwa wanatembea na mabango?
Damu za nani? Acha kuropoka ujinga usio na ushahidi nao. ukiambiwa ulete ushahidi utaleta?Mungu na wahalifu wapi na wapi? Naona amepata jukwaaa la kujisafisha hivyo anamtaja Mungu akidhani tutamuona ni mcha Mungu. Damu za alizozimwaga atalipia hapa hapa duniani.
CCM wapo wenye akili Timamu na wanaojitambua tuWa chama pendwa lakini