Pre GE2025 Paul Makonda: Ukimchukia Rais Samia unamkosea Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi Sakata la MO kutekwa ndio lilipotezewa mazima?
Amani imerejea bila wahalifu kupatikana? 🤔
 
Nina wasiwasi na mwashambwa maana haya maneno, Nina uchungu sana mara ooh naloa sana sijui Nini hv huwa unafanya Nini Hadi kushikwa na uchungu mtoto wa kiume? Mara sijui unaumia jamani mtoto wa kiume unaumizwa kwenye Nini? Ungekuwa unatolea huko Kwa Wala urojo nisingeshangaa lakini wewe wa Mbeya Kwa MIDUME yenye miraba minne Kila siku kulialia humu utadhani huna mokono na miguu? Kwa jinsi unavyojipendekeza ni vile huna ratiba ya hao watu wakienda msalani huwenda ungekuwa ukiwapa pole Kwa kazi ngumu huku ukitoa machozi ya uteuzi
 
Nenda popote pale kafungue kesi unaapoona una imani napo
Sheria za kimataifa zinataka kesi za aina hizi kumalizwa ndani, na hata ukienda kwenye mahakama za nje kama za Africa mashariki na Africa, ni ngumu hukumu kutekelezwa na nchi husika, na mifano hai ipo.
 
Sheria za kimataifa zinataka kesi za aina hizi kumalizwa ndani, na hata ukienda kwenye mahakama za nje kama za Africa mashariki na Africa, ni ngumu hukumu kutekelezwa na nchi husika, na mifano hai ipo.
Kwa hiyo unatakaje sasa?
 
Nataka kusema huyo muhalifu anajisafisha kwakuwa tuna mifumo inayolinda wahalifu. Kwenye nchi zenye mifumo mizuri ya kisheria, huyo muhalifu angekuwa jela.
Mheshimiwa wetu siyo mhalifu.uwe na adabu wewe.
 
Kachukue dawa zako milembe mbweha wewe!
 
Mheshimiwa wetu siyo mhalifu.uwe na adabu wewe.
Sijawahi kuheshimu muhalifu yoyote. Ww ndio unatakiwa umuheshimu, tena sio kumuheshimu tu, bali msujudie kabisa maana ndio wanakupa mlo. Sio Kila mtu anasujudia watu waovu.
 
Haku
Hakupanga na alikuwa kwenye maswala ya vyama😁 Ni sawa na useme hujawahi tarajia kushinda betting na wakati huwa una bet daily
 
Hivi Makonda ana akili timamu kweli?
 
Makonda, neno la Mungu linasema: USILITAJE BURE JINA LA BWANA MUNGU WAKO.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…