Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Sipo hapa jukwaani kutafuta fadhila ndugu yangu.muambie awe anaweka na picha kabisa😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipo hapa jukwaani kutafuta fadhila ndugu yangu.muambie awe anaweka na picha kabisa😁
Nakuombea Mungu akupe hitaji la Moyo wakoHapana mimi siandiki hapa kwa ajili ya kutaka kuonwa .pia asante sana kwa mada yako ya jkt maana inafurahisha sana .
Mimi kasi yangu kuzisema kazi zinazofanywa na serikali yetu maana kuna watu humu jukwaani ni wapotoshaji sana na wanatamani muda wote serikali yetu isemwe vibaya na kushambuliwa kwa matusi. Nashukuru ukija mitaani watu na wananchi wengi sanaa wanaiunga mkono kwa nguvu zote serikali ya Rais Samia .Huwezi jua mkuu....wewe ni mzalendo Kwa kuunga mkono juhudi za serikali
Yeye mwenyewe alimdharau Ndugu Chongolo ila baadaye Ndugu Chongolo akawa Boss wakeNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa kuigwa na kuwa kiongozi anayeteka hisia za watu wengi sana pamoja na mijadala mingi sana hapa nchini kila
0742-676627.
Alimdharau wapi. Au unashindwa kuelewa maana au utofauti wa dharau na maelekezoYeye mwenyewe alimdharau Ndugu Chongolo ila baadaye Ndugu Chongolo akawa Boss wake
Hao Marekani unaowaabudu siyo Mungu hao.kumbuka ni Marekani hao hao walisema ilaki chini ya saddamu Husseni ina silaha za maangamizi je hizo silaha za maangamizi walizikuta? Umewahi kuonyeshwa hizo silaha? Huoni zilikuwa ni hila tu za Marekani na uzushi wake.Labda udanganye wajinga huyu mtekaji na muuaji hadi leo ushahidi upo hadi US kazuiwa kuingia unakuja kumsafisha kirahisi hivyo huyu mungu labda mungu wa majambazi.
Tarehe 17 .3. 2017 alivamia ofisi za Clouds Media na kuwapa kichapo walinzi na ushahidi wa CCTV upo hapo.
Tarehe 17 .3. 2021 miaka 4 boss wake Covid -19 ikamfyekelea mbali malipo huwa ni ya karma tu sio mungu wenu huyo wa kufikirika.View attachment 2874004
Statement ya Secretary wa Department of State hiyo hapo ikieleza sababu za kumzuia muuaji huyu kutembelea US.
Najua kiingereza kinakupiga chenga maana kigezo cha kuwa chawa ni kuwa bumunda hivyo muombe mwanalumumba mmoja akufanyie tafsiri ya barua hiyo.
View attachment 2873996
Mimi nasimamia ukweli na kuusema ukweli na kuwasilisha au kuweka hapa habari za ukweli na uhalisia tuNakuelewa sana Lucas Pambana tu upate ugali..Haya maisha bila unafki hayaendi [emoji38]
Kwahiyo unasema Joyce wowowo katoa angalizo kuhusu vyeo?Hapana ndugu yangu mimi wala sitafuti Urais
Acha utoto ndugu yangu.andika na kujadili vitu kama mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua .usiandike vitu utafikiri umetoroka na umekimbia Mirembe hospitali ya vichaa kabla ya kumaliza matibabu na kupona .Kwahiyo unasema Joyce wowowo katoa angalizo kuhusu vyeo?
Bro kiukweli hadi unatia huruma, kama huna kazi ni DM kuna kazi ya uhakika, najaribu kuiwaza kesho yako naona ina kiza kirefu sana. DM nitakupa kazi maana unatia aibu sasaNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa kuigwa na kuwa kiongozi anayeteka hisia za watu wengi sana pamoja na mijadala mingi sana hapa nchini kila afunguapo kinywa chake kuzungumza maneno. kutokana na kuzungumza kwake kwa hekima, busara ,staha na maneno yenye mafunzo makubwa sana ndani yake.
Sasa leo tena katika muendelezo huo huo wa kuzungumza kinabii na kuwa mbele ya muda kimaono na kimawazo amezungumza juu ya kuheshimiana, kupendana,uvumilivu,subira wakati unapokuwa huna uongozi na unapokuwa kiongozi katika nafasi fulani.
Amesema unapokuwa kiongozi hupaswi kuwadharau wale ambao hawana uongozi au hawapo uongozini maana hujuwi kesho itakuwaje maana huyu unayemuona leo siyo kitu na ukamdharau , kesho anaweza kuwa ndio Bossi wako. Akizungumza kwa uchungu na hisia kali sana zilizogusa waandishi wa habari na kusambaa kwa kasi ya mwanga katika mitandao mbalimbali ya kijamii maneno hayo yameonekana kugusa hisia za wengi na kuungwa mkono na wengi sana.
Wengi wakisema kuwa Mh Paul Makonda yupo sahihi maana uongozi ni dhamana. Mheshimiwa Makonda amejitolea mfano yeye mwenyewe kuwa nani alitegemea kuwa atakuwa na kukalia kiti alichopo kwa sasa? Wengi wameonekana kuguswa sana na kauli hiyo na mfano huo na kuonyesha kupata somo lililowakaa akilini mwao na kuelewa kuwa inahitaji upendo kuishi na watu na kumheshimu kila mtu hata kama hana cheo chochote kile maana aijuaye kesho ya mtu ni Mungu Pekee.
Mheshimiwa Makonda amezungumza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara ya Mheshimiwa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan atakayoifanya unguja katika mikoa minne ndani ya siku mbili Tarehe 17-18 januari 2024.
Nami Mwashambwa namuunga mkono na kuiunga mkono kauli ya Mheshimiwa Paul Makonda kuwa Mheshimu kila mtu,usimdharau mtu kwa maisha aliyo nayo leo maana hujuwi kesho yake itakuwaje .Mungu humuinua mtu yeyote yule bila kujali historia yake. Hii ndio maana Mungu alimuinua Daudi aliyekuwa anachunga kondoo porini na kumpa ufalme na kuwaacha watu kama akina Eliabu. Hii ndio maana Mungu aliwainua watu kama akina yefta.
Kikubwa ni kuwa mnyenyekevu na mwenye upendo na tabia njema kwa watu wote.waheshimu watu wote maana Mungu hupitishia baraka zake kupitia watu,huinua watu kupitia watu.tabia yako mbaya inaweza kuchelewesha baraka zako hasa pale kila mtu atakapokuwa anasita kuweka mkono wake na baraka zake juu yako kwa kibuli chako,dharau zako, ujivuni wako na manyanyaso yako kwa watu.
Lakini pia ukiwa sehemu usitake kuwazimia taa watu .penda kuwawashia taa watu ya kusonga mbele maana hujuwi ni nani atakaye kuja kukushika mkono mbele ya safari utakapokuwa umeanguka na unahitaji msaada wa kushikwa mkono na kuinuliwa .usifurahie anguko la mtu wala maumivu ya mtu .furahi unapoona kupitia wewe wengi wameinuka na kusonga mbele na kila wakikupigia simu waseme Mungu Akubariki sana na kukujalia maisha marefu yenye heri na baraka tele hapa Duniani.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Narudia tena, kwahiyo Joyce wowowo katoa angalizo kwa nyie watumwa wa vyeo?Acha utoto ndugu yangu.andika na kujadili vitu kama mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua .usiandike vitu utafikiri umetoroka na umekimbia Mirembe hospitali ya vichaa kabla ya kumaliza matibabu na kupona .
Marekani wamewajengea barabara , visima vya maji, vyoo na wanaandika "Kwa msaada wa watu wa Marekani" au hujawahi kuona hiyo miradi.Hao Marekani unaowaabudu siyo Mungu hao.kumbuka ni Marekani hao hao walisema ilaki chini ya saddamu Husseni ina silaha za maangamizi je hizo silaha za maangamizi walizikuta? Umewahi kuonyeshwa hizo silaha? Huoni zilikuwa ni hila tu za Marekani na uzushi wake.
Ni Marekani hao hao na walishiriki kumuua muamari Gadaffi kwa visingizio vya uongo .je libya ipo wapi kwa sasa? Tuhuma zao zilikuwa za kweli? Hujisikia hata Barack Obama akijuta kwa uamuzi wao na kusema walifanya makosa?
Marekani usiwaamini kwa kila jambo.wao siku zote watakuchafua kwa njia yoyote ile pale utakapogusa maslahi yao au mambo yao kama alivyo fanya Mheshimiwa Makonda kupiga vita habari za mashoga na ushoga katika mkoa wa Dar es salaam
Mkuu;Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa kuigwa na kuwa kiongozi anayeteka hisia za watu wengi sana pamoja na mijadala mingi sana hapa nchini kila afunguapo kinywa chake kuzungumza maneno. kutokana na kuzungumza kwake kwa hekima, busara ,staha na maneno yenye mafunzo makubwa sana ndani yake.
Sasa leo tena katika muendelezo huo huo wa kuzungumza kinabii na kuwa mbele ya muda kimaono na kimawazo amezungumza juu ya kuheshimiana, kupendana,uvumilivu,subira wakati unapokuwa huna uongozi na unapokuwa kiongozi katika nafasi fulani.
Amesema unapokuwa kiongozi hupaswi kuwadharau wale ambao hawana uongozi au hawapo uongozini maana hujuwi kesho itakuwaje maana huyu unayemuona leo siyo kitu na ukamdharau , kesho anaweza kuwa ndio Bossi wako. Akizungumza kwa uchungu na hisia kali sana zilizogusa waandishi wa habari na kusambaa kwa kasi ya mwanga katika mitandao mbalimbali ya kijamii maneno hayo yameonekana kugusa hisia za wengi na kuungwa mkono na wengi sana.
Wengi wakisema kuwa Mh Paul Makonda yupo sahihi maana uongozi ni dhamana. Mheshimiwa Makonda amejitolea mfano yeye mwenyewe kuwa nani alitegemea kuwa atakuwa na kukalia kiti alichopo kwa sasa? Wengi wameonekana kuguswa sana na kauli hiyo na mfano huo na kuonyesha kupata somo lililowakaa akilini mwao na kuelewa kuwa inahitaji upendo kuishi na watu na kumheshimu kila mtu hata kama hana cheo chochote kile maana aijuaye kesho ya mtu ni Mungu Pekee.
Mheshimiwa Makonda amezungumza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara ya Mheshimiwa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa Mh Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan atakayoifanya unguja katika mikoa minne ndani ya siku mbili Tarehe 17-18 januari 2024.
Nami Mwashambwa namuunga mkono na kuiunga mkono kauli ya Mheshimiwa Paul Makonda kuwa Mheshimu kila mtu,usimdharau mtu kwa maisha aliyo nayo leo maana hujuwi kesho yake itakuwaje .Mungu humuinua mtu yeyote yule bila kujali historia yake. Hii ndio maana Mungu alimuinua Daudi aliyekuwa anachunga kondoo porini na kumpa ufalme na kuwaacha watu kama akina Eliabu. Hii ndio maana Mungu aliwainua watu kama akina yefta.
Kikubwa ni kuwa mnyenyekevu na mwenye upendo na tabia njema kwa watu wote.waheshimu watu wote maana Mungu hupitishia baraka zake kupitia watu,huinua watu kupitia watu.tabia yako mbaya inaweza kuchelewesha baraka zako hasa pale kila mtu atakapokuwa anasita kuweka mkono wake na baraka zake juu yako kwa kibuli chako,dharau zako, ujivuni wako na manyanyaso yako kwa watu.
Lakini pia ukiwa sehemu usitake kuwazimia taa watu .penda kuwawashia taa watu ya kusonga mbele maana hujuwi ni nani atakaye kuja kukushika mkono mbele ya safari utakapokuwa umeanguka na unahitaji msaada wa kushikwa mkono na kuinuliwa .usifurahie anguko la mtu wala maumivu ya mtu .furahi unapoona kupitia wewe wengi wameinuka na kusonga mbele na kila wakikupigia simu waseme Mungu Akubariki sana na kukujalia maisha marefu yenye heri na baraka tele hapa Duniani.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hongera kadaNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa
0742-676627.
Naunga mkono hojaNdugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa kuigwa na kuwa kiongozi anayeteka hisia za watu wengi sana.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
🤣🤣🤣🎁🍞🍗Mimi nasimamia ukweli na kuusema ukweli na kuwasilisha au kuweka hapa habari za ukweli na uhalisia tu
Hivi pamoja kareti zako unasoma magazeti ya huyu mkuu wa wakuu??CCM muoneni Lucas anavyojituma na namba kawaekea jamani!![emoji23]
🤔💭🍞💬Naunga mkono hoja
P