Pre GE2025 Paul Makonda: Usimbeze mtu maana kesho anaweza kuwa Bosi wako

Pre GE2025 Paul Makonda: Usimbeze mtu maana kesho anaweza kuwa Bosi wako

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ndiye mjinga sana mdogo wangu
Siwezi kuwa na kaka mwendawazimu kama wewe mshangilia kuongozwa na mzanzibar kama vile wanyakyusa hakuna wenye akili timamu, Mbeya ukimtoa Sugu na Mwambusi wengine wote hamna akili mmekalia kufungua makanisa ya kishirikina. Shame on you
 
Siwezi kuwa na kaka mwendawazimu kama wewe mshangilia kuongozwa na mzanzibar kama vile wanyakyusa hakuna wenye akili timamu, Mbeya ukimtoa Sugu na Mwambusi wengine wote hamna akili mmekalia kufungua makanisa ya kishirikina. Shame on you
Nakushauri sana mdogo wangu uachane na mibangi yako
 
Zilongwa mbali zitendwa mbali, wazee wa pwani husema.

Makonda anapaswa aanze yeye kwanza kuishi mahubiri yake.
 
Ndio maana nashangaa humu wanaokubeza na kukuita chawa ...hawajui one dei utakuwa TZ president 😂
Lucas mwashambwa awe prezdar? Ukuu wa kata wameshindwa kumpa itakua uprezdar?
Kwa kusifu huku huyo dogo angekua anampamba kipara kwamba anafaa urais Sasa hivi dogo angekua anajambia boxer za Bei mbaya na kusukuma harrier.
 
Mheshimiwa Makonda ni mtu mnyenyekevu na mwenye huruma sana na ndio maana ulikuwa ukiona namna alivyokuwa akisaidia watu mbalimbali, wakiwemo wajane, yatima, watu wenye ulemavu,wagonjwa n.k. lakini pia kutofautiana katika uongozi ni jambo la kawaida.kikubwa mnatofatiana katika mambo ya msingi na juu ya njia za utekelezaji wa jambo fulani .na siyo masuala ya visasi na chuki binafsi .

Ndio maana kwa moyo wake huo wa upendo, unyenyekevu,subira,utulivu na uvumilivu tumeona na Taifa zima limeshuhudia Mheshimiwa Makonda akiinuka na kuinuliwa tena mbele ya macho ya maadui zake waliokuwa wamefurahi na wamemtangazia mwisho wa kisiasa lakini Mungu wa Mbinguni aliye hai akautangaza Mwanzo wenye kishindo kama cha wakoma waliolikimbiza jeshi la maadui.
Mbona kabla hajateuliwa hatukuona promo zako juu yake humu.
Ameteuliwa ndo promo zimeanza.

Uchawaaa.
Hawezi kukupa nafasi wewe
 
Hao Marekani unaowaabudu siyo Mungu hao.kumbuka ni Marekani hao hao walisema ilaki chini ya saddamu Husseni ina silaha za maangamizi je hizo silaha za maangamizi walizikuta? Umewahi kuonyeshwa hizo silaha? Huoni zilikuwa ni hila tu za Marekani na uzushi wake.

Ni Marekani hao hao na walishiriki kumuua muamari Gadaffi kwa visingizio vya uongo .je libya ipo wapi kwa sasa? Tuhuma zao zilikuwa za kweli? Hujisikia hata Barack Obama akijuta kwa uamuzi wao na kusema walifanya makosa?

Marekani usiwaamini kwa kila jambo.wao siku zote watakuchafua kwa njia yoyote ile pale utakapogusa maslahi yao au mambo yao kama alivyo fanya Mheshimiwa Makonda kupiga vita habari za mashoga na ushoga katika mkoa wa Dar es salaam
Elezea na ishu ya clouds na ishu ya nape kuvamiwa.
 
Back
Top Bottom