Pre GE2025 Paul Makonda: Usimbeze mtu maana kesho anaweza kuwa Bosi wako

Pre GE2025 Paul Makonda: Usimbeze mtu maana kesho anaweza kuwa Bosi wako

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Duh fanyeni kazi jamani naona tunabakia kuwa wasindikizaji na kuwsifia sifia wenzetu

Ova
 
Jina leo kwa mara ya kwanza au vipi.. nimekupa kopa za macho.. kwa kusoma aliyoyatamka.. 🤗
 
Mheshimiwa Makonda ni mtu mnyenyekevu na mwenye huruma sana na ndio maana ulikuwa ukiona namna alivyokuwa akisaidia watu mbalimbali, wakiwemo wajane, yatima, watu wenye ulemavu,wagonjwa n.k. lakini pia kutofautiana katika uongozi ni jambo la kawaida.kikubwa mnatofatiana katika mambo ya msingi na juu ya njia za utekelezaji wa jambo fulani .na siyo masuala ya visasi na chuki binafsi .

Ndio maana kwa moyo wake huo wa upendo, unyenyekevu,subira,utulivu na uvumilivu tumeona na Taifa zima limeshuhudia Mheshimiwa Makonda akiinuka na kuinuliwa tena mbele ya macho ya maadui zake waliokuwa wamefurahi na wamemtangazia mwisho wa kisiasa lakini Mungu wa Mbinguni aliye hai akautangaza Mwanzo wenye kishindo kama cha wakoma waliolikimbiza jeshi la maadui.

Umejibu nin hapa. Propaganda hazitakufikisha popote zaidi ya kupata aibu humu.
 
Huyooo ....alikuwa anatubu kwa akivyokuwa kiburi na dharau akajitoa ubinadamu akawa juu zaidi hata malaika.....alichomfanyia Chongolo sio kabisaaa.....
 
Back
Top Bottom