Pre GE2025 Paul Makonda: Usimbeze mtu maana kesho anaweza kuwa Bosi wako

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huwezi jua mkuu....wewe ni mzalendo Kwa kuunga mkono juhudi za serikali
Mimi kasi yangu kuzisema kazi zinazofanywa na serikali yetu maana kuna watu humu jukwaani ni wapotoshaji sana na wanatamani muda wote serikali yetu isemwe vibaya na kushambuliwa kwa matusi. Nashukuru ukija mitaani watu na wananchi wengi sanaa wanaiunga mkono kwa nguvu zote serikali ya Rais Samia .
 
Yeye mwenyewe alimdharau Ndugu Chongolo ila baadaye Ndugu Chongolo akawa Boss wake
 
Labda udanganye wajinga huyu mtekaji na muuaji hadi leo ushahidi upo hadi US kazuiwa kuingia unakuja kumsafisha kirahisi hivyo huyu mungu labda mungu wa majambazi.

Tarehe 17 .3. 2017 alivamia ofisi za Clouds Media na kuwapa kichapo walinzi na ushahidi wa CCTV upo hapo.

Tarehe 17 .3. 2021 miaka 4 boss wake Covid -19 ikamfyekelea mbali malipo huwa ni ya karma tu sio mungu wenu huyo wa kufikirika.
Statement ya Secretary wa Department of State hiyo hapo ikieleza sababu za kumzuia muuaji huyu kutembelea US.

Najua kiingereza kinakupiga chenga maana kigezo cha kuwa chawa ni kuwa bumunda hivyo muombe mwanalumumba mmoja akufanyie tafsiri ya barua hiyo.
 
Hao Marekani unaowaabudu siyo Mungu hao.kumbuka ni Marekani hao hao walisema ilaki chini ya saddamu Husseni ina silaha za maangamizi je hizo silaha za maangamizi walizikuta? Umewahi kuonyeshwa hizo silaha? Huoni zilikuwa ni hila tu za Marekani na uzushi wake.

Ni Marekani hao hao na walishiriki kumuua muamari Gadaffi kwa visingizio vya uongo .je libya ipo wapi kwa sasa? Tuhuma zao zilikuwa za kweli? Hujisikia hata Barack Obama akijuta kwa uamuzi wao na kusema walifanya makosa?

Marekani usiwaamini kwa kila jambo.wao siku zote watakuchafua kwa njia yoyote ile pale utakapogusa maslahi yao au mambo yao kama alivyo fanya Mheshimiwa Makonda kupiga vita habari za mashoga na ushoga katika mkoa wa Dar es salaam
 
Nakuelewa sana Lucas Pambana tu upate ugali..Haya maisha bila unafki hayaendi [emoji38]
 
Kwahiyo unasema Joyce wowowo katoa angalizo kuhusu vyeo?
Acha utoto ndugu yangu.andika na kujadili vitu kama mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua .usiandike vitu utafikiri umetoroka na umekimbia Mirembe hospitali ya vichaa kabla ya kumaliza matibabu na kupona .
 
Bro kiukweli hadi unatia huruma, kama huna kazi ni DM kuna kazi ya uhakika, najaribu kuiwaza kesho yako naona ina kiza kirefu sana. DM nitakupa kazi maana unatia aibu sasa
 
Acha utoto ndugu yangu.andika na kujadili vitu kama mtu mwenye akili Timamu na unayejitambua .usiandike vitu utafikiri umetoroka na umekimbia Mirembe hospitali ya vichaa kabla ya kumaliza matibabu na kupona .
Narudia tena, kwahiyo Joyce wowowo katoa angalizo kwa nyie watumwa wa vyeo?
 
Marekani wamewajengea barabara , visima vya maji, vyoo na wanaandika "Kwa msaada wa watu wa Marekani" au hujawahi kuona hiyo miradi.

Miaka 63 ya uhuru unapewa hadi msaada wa kujengewa vyoo, visima vya maji, barabara si aibu hiyo kwanini nisiwaamini?

Makonda alipinga ushoga , wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki ilisema huo sio msimamo wa serikali bali mawazo binafsi ya Makonda sasa unavyosema asiamiwe Marekani kama serikali ilimkana huyu muhuni wenu tumsikilize nani?

Kwahiyo tusimuamini Marekani ila ARV , Condom na vitu vingine kupitia PEPFAR na USAID mnachukua upo sawa akilini kweli wewe?
 
Mkuu;

Naona unazunguka mbuyu tu, makonda alimaanisha amejifunza makosa yake, ni jambo jema, ila yeye ni sikio la kufa!

Anajuta alichomfanyia Chongolo akaja kuwa bosi wake!

Anajuta walichomfanyia Nape Nauye, na sasa ni waziri!

Anajuta alichomfanyia Ridhiwani, na sasa ni waziri!

Anajuta tena walichomfanyia Nchimbi, na sasa ndiye bosi wake!

Anajuta walichomfanyia Kinana, na sasa ndiye bosi wake Namba mbili chamani!

Kwake ni lazima liwe somo muhimu sana! Na lazima ajute na bado!

Usisahau juzi tu alisema kwenye kaburi la Mwendazake kuwa utii wake upo kwa Mwendazake tu! hata akiwekewa bastola hachomoi!

Watu wakanote, in the right moment of time, that phrase of oath will be the best killer bullet to assassinate his political career!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa

0742-676627.
Hongera kada
watakuona muda si mrefu.

safari hii badili text color ya number zako weka nyekundu zinaonekana kirahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…