Pre GE2025 Paul Makonda: Usimbeze mtu maana kesho anaweza kuwa Bosi wako

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe ndiye mjinga sana mdogo wangu
Siwezi kuwa na kaka mwendawazimu kama wewe mshangilia kuongozwa na mzanzibar kama vile wanyakyusa hakuna wenye akili timamu, Mbeya ukimtoa Sugu na Mwambusi wengine wote hamna akili mmekalia kufungua makanisa ya kishirikina. Shame on you
 
Nakushauri sana mdogo wangu uachane na mibangi yako
 
Zilongwa mbali zitendwa mbali, wazee wa pwani husema.

Makonda anapaswa aanze yeye kwanza kuishi mahubiri yake.
 
Ndio maana nashangaa humu wanaokubeza na kukuita chawa ...hawajui one dei utakuwa TZ president 😂
Lucas mwashambwa awe prezdar? Ukuu wa kata wameshindwa kumpa itakua uprezdar?
Kwa kusifu huku huyo dogo angekua anampamba kipara kwamba anafaa urais Sasa hivi dogo angekua anajambia boxer za Bei mbaya na kusukuma harrier.
 
Mbona kabla hajateuliwa hatukuona promo zako juu yake humu.
Ameteuliwa ndo promo zimeanza.

Uchawaaa.
Hawezi kukupa nafasi wewe
 
Elezea na ishu ya clouds na ishu ya nape kuvamiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…