Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Makonda ni mzalendo?
Kweli, lakini tahadhali muhimu pia kwa wazalendo
Mi naona Makonda akipata nafasi kama aliyokuwa nayo JPM, Tanzania itaendelea kwa haraka sana kuliko wakati wowote katika historia ya nchi yetu
Kwa viongozi Hawa WA CCM ....Mungu aendelee kuingilia kati hata waishe wote ...sioni wa kuponywa mule. Aingilie Kati Kwa kweli afute kile kizazi chote ikibidi. Eeh Mungu utusikie.Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo.
Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini mbaya zaidi ni kwamba hawa wahuni wanaonekana wako "smart" zaidi kulinganisha na wazalendo kwa sababu, wao mara nyingi wakiona maslahi yao yanaingiliwa basi hufanya kukaa kimya na kuanza kushughulika n wazalendo wanaoingilia maslahi yao na familia zao kichini-chini.
Hili lilishawekwa wazi na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, wa zamani, ndugu Humphrey Polepole ambaye alisema ndani ya Chama na serikali kuna WAHUNI ambao wakiona umenyooka, basi wanakutafutia zengwe, au wanakutafutia namna ya kukuroga, au kukua iwe kwa ajali, sumu n.k. Kwa sehemu nakubaliana naye kwa sababu wakati wa utawala wa JPM pia aliwahi kukiri kupewa sumu. Lakini pia wakati wa ziara yake kule kusini (?Lindi), Kuna kipindi alitumiwa moshi ambao hata haujulikani ulitokea wapi (kwa wabishi Ingia youtube utaona)!
Sasa huu ukimya wa hawa "panya road" waliovishwa makoti ya uongozi kwa sasa umerudi tena kama ilivyokuwa kabla ya Mzalendo (JPM) kulala. Haikosi kuna jambo baya watakuwa wanalipanga juu ya viongozi wazalendo na watetezi wa wanyonge wa Chama na Serikali akiwemo ndugu Paul Christian Makonda.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu wabariki viongozi wetu wazalendo lakini wale wezi wanaolitesa Taifa hili, uwalaani wao na vizazi vyao.
Amin.
Kataa Wahuni @# Makonda @# Polepole !Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo.
Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini mbaya zaidi ni kwamba hawa wahuni wanaonekana wako "smart" zaidi kulinganisha na wazalendo kwa sababu, wao mara nyingi wakiona maslahi yao yanaingiliwa basi hufanya kukaa kimya na kuanza kushughulika n wazalendo wanaoingilia maslahi yao na familia zao kichini-chini.
Hili lilishawekwa wazi na Katibu Mwenezi wa CCM Taifa, wa zamani, ndugu Humphrey Polepole ambaye alisema ndani ya Chama na serikali kuna WAHUNI ambao wakiona umenyooka, basi wanakutafutia zengwe, au wanakutafutia namna ya kukuroga, au kukua iwe kwa ajali, sumu n.k. Kwa sehemu nakubaliana naye kwa sababu wakati wa utawala wa JPM pia aliwahi kukiri kupewa sumu. Lakini pia wakati wa ziara yake kule kusini (?Lindi), Kuna kipindi alitumiwa moshi ambao hata haujulikani ulitokea wapi (kwa wabishi Ingia youtube utaona)!
Sasa huu ukimya wa hawa "panya road" waliovishwa makoti ya uongozi kwa sasa umerudi tena kama ilivyokuwa kabla ya Mzalendo (JPM) kulala. Haikosi kuna jambo baya watakuwa wanalipanga juu ya viongozi wazalendo na watetezi wa wanyonge wa Chama na Serikali akiwemo ndugu Paul Christian Makonda.
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu wabariki viongozi wetu wazalendo lakini wale wezi wanaolitesa Taifa hili, uwalaani wao na vizazi vyao.
Amin.
Ni kweli kabisa kama upo kwenye kusimamia Haki hupaswi kuogopa mtu !!Magufuli alisema yeye ni MZALENDO haigopi kufa na yeye Bashite Aseme hivyo hivyo hiyo ndio kauli ya KIZALENDO
Duh 🙄!!Kwa viongozi Hawa WA CCM ....Mungu aendelee kuingilia kati hata waishe wote ...sioni wa kuponywa mule. Aingilie Kati Kwa kweli afute kile kizazi chote ikibidi. Eeh Mungu utusikie.
Turudi pale Rau Madukani 😂Wahuni wote peponi
Anaogopa kivuli chake mwenyewe, alitaka wenye akili wajibizane naye?Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo.