Pre GE2025 Paul Makonda: Wahuni wameingia tena msituni nini? Siyo kwa ukimya huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa hiyo Bashite ni timu Kiroboto a. k. a balozi wa Cuba. Naona Anawananga Wahuni. Kiroboto voice πŸ€”
 
Yaani Makonda ni mzalendo?

Mtu anapoweza kumwita jambazi na mtoa roho za watu Makonda kuwa ni mzalendo, lazima mtu huyo kuna shida kubwa kichwani mwake.
 
Kweli, lakini tahadhali muhimu pia kwa wazalendo

Kama huyo muuaji na alitekuwa akiteka, kutesa na kupoteza watu wasio na hatia, akiondoka, hilo si litakuwa jambo jema kwa nchi na Dunia nzima?

Nyoka muuaji wa watu akiondoka, si shangwe kwa wote waliokuwa kwenye hatari ya kuuliwa na wale ambao nyoka huyo aliwaondolea haki ya kuishi ndugu zao?

Tunaomba sana Mungu, atuepushe na mtu huyu muuaji katika Taifa letu analoendelea kulitoa unajisi na hao washirika wake.

Mungu wa mbinguni, tunaomba sana kisasi cha kumpoteza Ben Sanane, Azory, kumshambulia Lisu na wengine wengi kiwe juu yako kwa hawa waovu wote, hata wasisimame na kujigamba kujivunia uovu wao. Wajue kila uovu dhidi ya nafsi una majuto makuu.
 
Mi naona Makonda akipata nafasi kama aliyokuwa nayo JPM, Tanzania itaendelea kwa haraka sana kuliko wakati wowote katika historia ya nchi yetu

Makonda ni mtaalam mzoefu wa kuua, kuteka na kupoteza watu, ni mzoefu wa kupora mali za watu; hivyo unamaanisha nchi itaendelea na kuwa kinara wa kuua na kuwapoteza watu?

Huyu shetani tunaomba yeye na kizazi chake walaanike pamoja na hao waliowaletea wananchi jitu jambazi na muuaji eti awe msamaji wao.
 
Kwa viongozi Hawa WA CCM ....Mungu aendelee kuingilia kati hata waishe wote ...sioni wa kuponywa mule. Aingilie Kati Kwa kweli afute kile kizazi chote ikibidi. Eeh Mungu utusikie.
 
Kataa Wahuni @# Makonda @# Polepole !
Ni kweli Wahuni wapo tena wana maguvu na Sauti kupitia kwenye pesa zao Haramu !!
Lakini pia Mungu yupo mwenye uwezo usiowezwa πŸ™πŸ™πŸ™
 
Magufuli alisema yeye ni MZALENDO haigopi kufa na yeye Bashite Aseme hivyo hivyo hiyo ndio kauli ya KIZALENDO
Ni kweli kabisa kama upo kwenye kusimamia Haki hupaswi kuogopa mtu !!
Kufa kupo tu hata ukiogopa utakufa tu !
It’s better to die standing than to live kneeling πŸ§Žβ€β™€οΈ!!
 
Kwa viongozi Hawa WA CCM ....Mungu aendelee kuingilia kati hata waishe wote ...sioni wa kuponywa mule. Aingilie Kati Kwa kweli afute kile kizazi chote ikibidi. Eeh Mungu utusikie.
Duh πŸ™„!!
πŸ™πŸ™
 
Anaogopa kivuli chake mwenyewe, alitaka wenye akili wajibizane naye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…