Za kuambiwa changanya na za kwako by HE.J M kikwete
Katika hizo takwimu kuna za familia au ukoo wako?Tutaona na kuyasikia mengi mwaka huu, tumeishinda corona wakati hatujui takwimu ziko vipi
Siku ya jumapili itakuwa siku ya send off ya kuiaga corona Tanzania na kuifungisha virago forever iende kwa mumewe shetani
Makanisa mengi yatafanya hiyo ibada ya send off .Tunaomba kila mmoja ahudhurie ibada siku hiyo
Upatapo tangazo hili mtaarifa na mwingine tufike kwa wingi makanisani JUMAPILI HII
Akili ni kitu kinachoonekana kipimo cha akili kwenye corona ni kufungisha virago corona kwenye nchi na kutoweka lockdown na corona kukosa uwezo wa kujitutumua pamoja na kutoweka lockdown.Tanzania tumeweza hatujaweka lockdown na corona imeshindwa kujitutumua na jumapili send off yake rasmiHiyo ndio siku ya kujua kipimo cha ujinga wa mtu mweusi.
Mabeberu hawana hata habari. Wanapambana na hali zao saa hizi.Mabeberu yanashangaa sana yandhani labda ni movie
This is how we do
Huku ni kuchanganyikiwa.Siku ya jumapili itakuwa siku ya send off ya kuiaga corona Tanzania na kuifungisha virago forever iende kwa mumewe shetani
Makanisa mengi yatafanya hiyo ibada ya send off .Tunaomba kila mmoja ahudhurie ibada siku hiyo
Upatapo tangazo hili mtaarifa na mwingine tufike kwa wingi makanisani JUMAPILI HII ya tarehe 24 May 2020
Hatujaweka lockdown yes? But also hatupimi. So utajuaje kama hatuna cases za corona kama hatupimi?Akili ni kitu kinachoonekana kipimo cha akili kwenye corona ni kufungisha virago corona kwenye nchi na kutoweka lockdown na corona kukosa uwezo wa kujitutumua pamoja na kutoweka lockdown.Tanzania tumeweza hatujaweka lockdown na corona imeshindwa kujitutumua na jumapili send off yake rasmi
acha hasira kijana, ulitaka watu wafehii corona itakuwa na yenyewe inashangaa, shout out kwa watu wote wenye kinga madhubuti naona mnaenda kufanya party la kuwaangamiza wenye weak immune, kmmk hakuna nchi kuna maselfish kama Tanzania. SHANGILIENI TU ILA MWISHO WAKE UNAKUJA
Sent from my iPhone using JamiiForums