Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

"Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbia Corona Dar warudi haraka kwani kifo hakikimbiwi". Mwisho wa kunukuu!

Hii kauli nimeilewa sana hii maana inawahusu wale wote waliolikimbia Jiji, kisa Corona! Uoga siyo jambo la kujivunia hata kidogo. Dawa ya matatizo ni kuyakabili na siyo kuyakimbia.
Kuna mtu alikimbilia Dom kwenye mawe sasa akakimbilia chatu anatakiwaà arudi Dar
 
Nngependa kuwaambia kisa flani cha kwenye bible hao Jamaa wanaojiandaa kwenda ku-party hio J2 kusherekea 'kumalizika' kwa Corona:

Baada ghalika kuisha Nuhu akaona amtume Njiwa nje ya Safina ili kuona vipi hali ikoje huko nje,maji yameisha au la ili aone kama anaweza kutoka kwny safina au la.

Sasa wajiulize kwa mazingira tuliyonayo Njiwa anaweza kua nani?
 
Inapendeza...

Ila tu isiwe tunageuzwa research ya ku-test je ugonjwa upo kweli au...



Cc: mahondaw
 
Herd immunity. Hii project anayoifanya bwana mzee si nzuri ihivyo. 60% waugue ili 40% wapone.

Sent using Jamii Forums mobile app
In short summary
EYUeuZVXsAQYwyD.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol mkuu ML charge inakunukia.

Wakuu mbona mmenielewa vibaya!🤔 Mimi nimenukuu maneno ya RC wa Dar Paul Makonda! Na jana pia nilimsikia kwa masikio yangu kupitia taarifa ya Habari.

Na kuhusu matatizo, hiyo ni kweli! Dawa yake pekee ni kuyakabili na siyo kuyakimbia. Sijamtaja mtu mimi, na hata Makonda pia hakumtaja mtu! Isipokuwa alisema "Wale wote waliokimbia Jiji, warejee haraka kuendelea na shughuli zao za kila siku maana Corona imekwisha Jijini"
 
Ile nchi ya kusadikika imeshajulikana, no testing, no information then tushangilie ushindi, mbona hatujaona goli halali likifungwa, yote ni off side
 
Write your reply...Ile nchi ya kusadikika imeshajulikana, no testing, no information then tushangilie ushindi, mbona hatujaona goli halali likifungwa, yote ni off side
mladi kombe linatolewa mengine hayakuhusu.
 
Haya ni maamuzi mema ya kuwatia moyo watu wanapokuwa kwenye hatari au vita.

Dosari iliyoko kwenye maagizo haya yenye faraja kwa wanyonge waliokata tamaa baada ya biahara zao kufungwa ni kwamba MH. Mkonda si msemaji wa maswala yanayohusina na ugonjwa wa Corona.

Rais alisema wasemaji wa kutangaza jambo lolote linalohusiana na ugonjwa wa Corona ni Waziri Mkuu, Waziri wa afya na Msemaji wa Serikali.

Mh. Makonda, kwa mamlaka aliyo nayo tunamwomba ahalalishe matamshi yake kwa kuwataka wasemaji hao watatu waliotajwa wathibitishe usemi wake kuwa ni sahihi ili utekelezaji wake usiwe kwa Mkoa wa Dar tu mbali Inchi nzima.
 
Back
Top Bottom