Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Usisikilize wanasiasa! Jukumu la afya yako ni wewe mwenyewe. Corona bado ipo. Chukua tahadhari. Jilinde wewe na watu wengine.

Jiulize kwanini hawatoi takwimu?!
Kwani ukiamua kujifungia ndani kwako kuna mtu atakuja kukuuliza? Wewe jifungie tu aisee
 
Hivi mnajua kuwa watu hawawapeleki wagonjwa wao hospitali..!!? Maana wakipelekwa tu wanawekwa sehemu bila huduma na mwisho hufa... sasa wanaokwenda hospitali kutafuta takwimu, takwimu za huko si za kweli..

By the way, maabara haiaminiki, kwamba korona imeisha mnapata wapi hizo taarifa?
😂😂😂, jinyonge tu mkuu, ya nini uteseke??!😂😂😂
 


Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19...
Unajua mtu aliyemsikiliza Balaam alijichanganya akifikiri anamsikiliza mtumishi wa Mungu wa Israel kwa sabatu tu Balaamu ni wa nyumba ya wana wa Loti na anazifahamu kanuni na sheria za Mungu wa Israel.

Lakini huyu Balaamu alikua amerudi nyuma na kuwaingiza Israel katika ibaada ya mungu mgeni na uasherati wa kiroho.

Vivyo hivyo na huyu Makonda. Wasio jicho lililotahiriwa na ubatizo wa Roho wa Mungu wataingia katika huu mkenge na wengii washaingia haswa hawa walokole wa mhemko pasipo neno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nimesisitiza kila mtu achukue tahadhari. Kama unaweza kukaa ndani ni vizuri na wale wanaotoka pia wajilinde.
Umeshaelezwa kwamba tusherehekee ushindi, kama huamini tumeshinda, nenda chini ya uvungu na ukae huko huko
 
Kabisa tofauti .Roma wanaabudu corona ndio.maana wamefunga makanisa watu wasiabudu sisi Tunasbudu Yesu ndio maana makanisa hayajafungwa
Aisee toeni ushuhuda mataifa mengine yajue kuwa makanisa yakifurika waumini wa waabudu wataishinda Corona kirahisi kama Tz tulivyoshinda kirahisi.
 
Back
Top Bottom