FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Lia basi😂😂😂😂Tutaona na kuyasikia mengi mwaka huu, tumeishinda corona wakati hatujui takwimu ziko vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lia basi😂😂😂😂Tutaona na kuyasikia mengi mwaka huu, tumeishinda corona wakati hatujui takwimu ziko vipi
Lia basi 😂😂😂😂😂Tunatia aibu.
Hata Kama Niko Chato nirudi?Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
Hata usipomuamini, unampunguzia nn kwanKama sitokaa nimuamini Magufuli ije kuwa ni Makonda?
Kwani ukiamua kujifungia ndani kwako kuna mtu atakuja kukuuliza? Wewe jifungie tu aiseeUsisikilize wanasiasa! Jukumu la afya yako ni wewe mwenyewe. Corona bado ipo. Chukua tahadhari. Jilinde wewe na watu wengine.
Jiulize kwanini hawatoi takwimu?!
😂😂😂, jinyonge tu mkuu, ya nini uteseke??!😂😂😂Hivi mnajua kuwa watu hawawapeleki wagonjwa wao hospitali..!!? Maana wakipelekwa tu wanawekwa sehemu bila huduma na mwisho hufa... sasa wanaokwenda hospitali kutafuta takwimu, takwimu za huko si za kweli..
By the way, maabara haiaminiki, kwamba korona imeisha mnapata wapi hizo taarifa?
Tutaona na kuyasikia mengi mwaka huu, tumeishinda corona wakati hatujui takwimu ziko vipi
Mkuu kama wewe hujaugua shukuru Mungu,ni ajabu unataka kusikia wengine wameugua kadhaa.chunga usije kuwa mmona wao maana huna kinga yoyote.
watu hawana maambukizi kama vile ambavyo wewe huna.
Ndio maana nimesisitiza kila mtu achukue tahadhari. Kama unaweza kukaa ndani ni vizuri na wale wanaotoka pia wajilinde.Kwani ukiamua kujifungia ndani kwako kuna mtu atakuja kukuuliza? We jifungie tu aisee
Unajua mtu aliyemsikiliza Balaam alijichanganya akifikiri anamsikiliza mtumishi wa Mungu wa Israel kwa sabatu tu Balaamu ni wa nyumba ya wana wa Loti na anazifahamu kanuni na sheria za Mungu wa Israel.
Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali lako limekusanya mambo mengi SanaKwahivyo corona imeisha?
Huyu mtu ni wa kumpuuza, Corona ipo na inaua. Huu ushauri wa kipumbavu atakaye ufuata basi atakuwa ni mpumbavu zaidi ya wapumbavu wote duniani.
Usisikilize wanasiasa! Jukumu la afya yako ni wewe mwenyewe. Corona bado ipo. Chukua tahadhari. Jilinde wewe na watu wengine.
Jiulize kwanini hawatoi takwimu?!
FactUsisikilize wanasiasa! Jukumu la afya yako ni wewe mwenyewe. Corona bado ipo. Chukua tahadhari. Jilinde wewe na watu wengine.
Jiulize kwanini hawatoi takwimu?!
Umeshaelezwa kwamba tusherehekee ushindi, kama huamini tumeshinda, nenda chini ya uvungu na ukae huko hukoNdio maana nimesisitiza kila mtu achukue tahadhari. Kama unaweza kukaa ndani ni vizuri na wale wanaotoka pia wajilinde.
Nachukua tahadhari kwa sababu nilishaambukizwa nikapona. Kukaa ndani for two weeks huku unasikilizia ugonjwa ambao hauna dawa sio experience nzuri kabisa. Ndio maana nasisitiza watu wachukue tahadhari
Umeshaelezwa kwamba tusherehekee ushindi, kama huamini tumeshinda, nenda chini ya uvungu na ukae huko huko
Aisee toeni ushuhuda mataifa mengine yajue kuwa makanisa yakifurika waumini wa waabudu wataishinda Corona kirahisi kama Tz tulivyoshinda kirahisi.Kabisa tofauti .Roma wanaabudu corona ndio.maana wamefunga makanisa watu wasiabudu sisi Tunasbudu Yesu ndio maana makanisa hayajafungwa