Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Kwani wewe umeugua? Kweli mnaamishwa ujinga huo na kina Bashite? Nawaambia furaha yao wawaone mnakufa kama ndezi, haya fanyeni hayo maigizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijaugua ndio maana nashawishika na maneno ya Bashite, sijaona ndugu wala jamaa yangu kuugua korona,hata adui yangu.

Leo mtu akilazimisha anataka takwimu, nashindwa kuelewa anataka nani awe ameugua kama yeye ni mzima!!!
 
Corona imeisha Tanganyika Congratulations sana, Ila najiuliza madereva wanaitoa wapi wanao shikwa kwa majirani zetu
 
"Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbia Corona Dar warudi haraka kwani kifo hakikimbiwi". Mwisho wa kunukuu!

Hii kauli nimeilewa sana hii maana inawahusu wale wote waliolikimbia Jiji, kisa Corona! Uoga siyo jambo la kujivunia hata kidogo. Dawa ya matatizo ni kuyakabili na siyo kuyakimbia.

Lol mkuu ML charge inakunukia.
 
May 19, 2020
Nairobi, Kenya

Tanzania yaongoza kwa corona mpakani

Kenya yaripoti visa vya wenye corona ktk vivuko vya mpaka wa Tanzania na Kenya. Vivuko hivyo ni vya Namanga, Horohoro, Isebania, Lungalunga , Holili na Loitoktok.

Idadi kubwa ni waTanzania na wizara ya Afya Kenya wasifu kuweza kudhibiti korona kutoka Tanzania isiingie Kenya


Takwimu zinasema vipimo ktk vivuko vya mpakani mwa Tanzania na Kenya ni kuwa sampuli 214 zilionekana kuwa na virus vya korona.

Sampuli 182 corona positive ni kutoka Tanzania huku 32 ni za waKenya waliogundulika kuwa na corona.

Hivyo waziri wa Afya wa Kenya asema anachoweza kusema ni kutoa ushauri kwa serikali ya Tanzania iongeze kampeni kudhibiti kuenea kwa corona.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Corona imenda kuisha chadema hawaminiamini

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Anafungua kwani kuna siku alifunga? Confidence ndio key hapa, kama watu wataamini hali ni nzuri, watarudi wenyewe, ila kama kila baada ya siku mbili unasikia Prof or Director fulani kafariki kwa changamoto za kupumua unarudi vipi?
 
May 19, 2020
Nairobi, Kenya

Tanzania yaongoza kwa corona mpakani

Kenya yaripoti visa vya wenye corona ktk vivuko vya mpaka wa Tanzania na Kenya. Vivuko hivyo ni vya Namanga, Horohoro, Isebania, Lungalunga , Holili na Loitoktok...
Kama haiui no problem maisha yanaendelea. Kalibu tupige nyungu mkuu
 
Back
Top Bottom