Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Umeandika vema kabisa! Mtaji mkubwa CCM ni ujinga/Ujiha/upumbau wa 99.999% Tanzanians! Hiyo 0.1% ndio akna say Zito wanaojitambua!
Zito yupi unayemzungumzia?au zito huyu aliyekuwa anawapigia debe mabeberu waje wajenge bandari kubwa bagamoyo kwà miaka ambayo wewe na mwanao hamtofika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa wamechemka, mapema sana kusheherekea.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Kwa hiyo huu ushauri unautoa wewe au Makonda? sababu kwenye title ya thread yako inaonesha Makonda ndie alietoa ushauri lakini kwenye thread yenyewe inaonesha wewe ndie unaetoa ushauri kwa Makonda na Watanzania ebu tueleweshe kwanza.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA.
Achana na wapiga zumari...Sisi ni nchi ya kwanza kuishinda Covid-19 na kutangaza sherehe ya ushindi Dunia nzima.HAPA KAZI TU
 
Mnapenda kua wa kwanza, msije kua wa kwanza kukalia mkuyenge😁
 
Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku..

Bahati mbaya sana, hawa ndio wateja wenyewe, 30+ years
 
Umenikumbusha mbali sana viatu vya bora na soli yake,mafuta ya yolanda na manukato yake, kufungua ule mkebe ilikuwa shughuli ya ziada hasa ukiwa mtoto.Maisha yamekuwa tofauti sana.
 
Mzee raba za DH hizo tumevaa hata 1998-2000 zitoe kwenye list
Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo wewe hujaelewa na wenzio huko mtaani, acha kubadilisha kauli na matamshi ya Viongozi wako
Ipende nchi yako na viongozi wake wala haitakugharimu chochote
wewe MATAGA PhD holder umeelewaje?
Maana hata kauliza za rais nyie MATAGA huwa mnazielewa tofauti na watanzania milioni 55, huwa mna tafsiri zenu
 
Which means COVID19 is still there 😂😂😂👏👏👏
 
Achana na wapiga zumari...Sisi ni nchi ya kwanza kuishinda Covid-19 na kutangaza sherehe ya ushindi Dunia nzima.HAPA KAZI TU
Kumbuka pia kuwa, Sadamu Hussein alitangazia dunia kuwa amayaangamiza majeshi ya Marekani, wakati majeshi hayo yakiwa katika viunga vya viunga vya mji mkuu wake. Tujifunze kwa wenzetu.
 
Jumapili ni sherehe kwa watu makini binafsi nimejipanga

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Back
Top Bottom