bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 566
- 420
Zito yupi unayemzungumzia?au zito huyu aliyekuwa anawapigia debe mabeberu waje wajenge bandari kubwa bagamoyo kwΓ miaka ambayo wewe na mwanao hamtofikaUmeandika vema kabisa! Mtaji mkubwa CCM ni ujinga/Ujiha/upumbau wa 99.999% Tanzanians! Hiyo 0.1% ndio akna say Zito wanaojitambua!
Achana na wapiga zumari...Sisi ni nchi ya kwanza kuishinda Covid-19 na kutangaza sherehe ya ushindi Dunia nzima.HAPA KAZI TUKwa hiyo huu ushauri unautoa wewe au Makonda? sababu kwenye title ya thread yako inaonesha Makonda ndie alietoa ushauri lakini kwenye thread yenyewe inaonesha wewe ndie unaetoa ushauri kwa Makonda na Watanzania ebu tueleweshe kwanza.
HONGERA JPM NAIPENDA TANZANIA.

Mnapenda kua wa kwanza, msije kua wa kwanza kukalia mkuyengeπAchana na wapiga zumari...Sisi ni nchi ya kwanza kuishinda Covid-19 na kutangaza sherehe ya ushindi Dunia nzima.HAPA KAZI TU
Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku..
AiseeMnapenda kua wa kwanza, msije kua wa kwanza kukalia mkuyenge[emoji16]
Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku...
Hapa ndo wewe hujaelewa na wenzio huko mtaani, acha kubadilisha kauli na matamshi ya Viongozi wako........kusheherekea kuisha kwa Corona.
wewe MATAGA PhD holder umeelewaje?Hapa ndo wewe hujaelewa na wenzio huko mtaani, acha kubadilisha kauli na matamshi ya Viongozi wako
Ipende nchi yako na viongozi wake wala haitakugharimu chochote
ha ha , maisha yanakwenda kasi sana, kesho tu unatwa Babu, yani kama unaishi Dar, una kabinti kako kanasoma shule ya Kata muda wowote unaitwa Babu
yes, they should not temp Creator, he will love love more alafu tulaumianeWhich means COVID19 is still there ππππππ
Kumbuka pia kuwa, Sadamu Hussein alitangazia dunia kuwa amayaangamiza majeshi ya Marekani, wakati majeshi hayo yakiwa katika viunga vya viunga vya mji mkuu wake. Tujifunze kwa wenzetu.Achana na wapiga zumari...Sisi ni nchi ya kwanza kuishinda Covid-19 na kutangaza sherehe ya ushindi Dunia nzima.HAPA KAZI TU
Taja deni la taifa kwa sasa tafadhali.Zito yupi unayemzungumzia?au zito huyu aliyekuwa anawapigia debe mabeberu waje wajenge bandari kubwa bagamoyo kwΓ miaka ambayo wewe na mwanao hamtofika
Sent using Jamii Forums mobile app