cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Amaa kweli mchana inzi, usiku 'umbu'!!!
Mtu mmoja kauli mbili.... watu washike lipi na kwanini haombi radhi kwanza?
Bia yetu cocochanel
Wakati unasema oyeeeShukurani kwa salamu..[emoji4]
Makonda oyeeeeeeeeee
Na Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.
Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee
Huyu alikuwa Mkuu wa Mkoa mwenye kigeugeu leo anasema hivi kesho anasema vile. Hatumuelewi kabisa huyu Kiongozi mwenye kigeu geu.Wakati unasema oyeee
Tunakumbushwa hivi
Ova
View attachment 1459715
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
ππ€£ππ€£πRais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
Aibu unatia weweTunatia aibu.
Hivyo hivyo, mbona Mama yenu anafanya maigizo kila siku hatusemi, zamu yetu, tuacheni banaMbona Huyu Kama anajipigia kampeni ? Anayofanya alipaswa kutafanya Bosi Wake ! Aache maigizo
Anaenda sehemu anakuta kuna jambo linaendelea Kama ujenzi anajifanya kupiga simu na kuuliza ujenzi unaanza lini π hizi drama
CHATO ule msikiti unaendelea na ujenzi kawaida tokea Wiki juzi alafu anafika anajifanya kuuliza ujenzi unaanza lini ? π
Hospital geita inajengwa tayari alafu anafika anampigia @AngellahKairuki kwamba ujenzi unaanza lini hadharani π na uzuri Huyu Mama hakuwa na papara naye akamjibu kiukubwa zaidi, maigizo maigizo maigizo
Kule kagera stend Bukoba imeanza kujengwa Week mbili baada ya mkandarasi kupewa kila kitu na ubomoaji wa Stend ya zamani ikaanza ujenzi wa mpya π eti anaiagiza serikali ijenge ndani ya miezi mitatu π
Tumemuona @innobash juzi akiwa ana ongea kwamba Samia kaidhinisha Pesa ya kujenga km 1 toka Rwamishenye hadi kanoni na baadae zitaongezeka 600M kujenga hadi stend! Na ujenzi ushaanza kitambo Sasa Makonda anasema serikali ianze ujenzi ndani ya miezi mitatu π maigizo haya Ni makubwa sana eti na Daraja kanoni lipanuliwe wakati mkandarasi Yupo kazini kitambo
Anachokifanya ndicho alichotumwa kukifanya!! Wenye akili zao wanajua hivyo!! Kuna nguvu kubwa sana nyuma ya Makonda. Ukimwingia kichwa kichwa utaumia kama alivyoumia Nape mwaka ule!!Mbona Huyu Kama anajipigia kampeni ? Anayofanya alipaswa kutafanya Bosi Wake ! Aache maigizo
Anaenda sehemu anakuta kuna jambo linaendelea Kama ujenzi anajifanya kupiga simu na kuuliza ujenzi unaanza lini π hizi drama
CHATO ule msikiti unaendelea na ujenzi kawaida tokea Wiki juzi alafu anafika anajifanya kuuliza ujenzi unaanza lini ? π
Hospital geita inajengwa tayari alafu anafika anampigia @AngellahKairuki kwamba ujenzi unaanza lini hadharani π na uzuri Huyu Mama hakuwa na papara naye akamjibu kiukubwa zaidi, maigizo maigizo maigizo
Kule kagera stend Bukoba imeanza kujengwa Week mbili baada ya mkandarasi kupewa kila kitu na ubomoaji wa Stend ya zamani ikaanza ujenzi wa mpya π eti anaiagiza serikali ijenge ndani ya miezi mitatu π
Tumemuona @innobash juzi akiwa ana ongea kwamba Samia kaidhinisha Pesa ya kujenga km 1 toka Rwamishenye hadi kanoni na baadae zitaongezeka 600M kujenga hadi stend! Na ujenzi ushaanza kitambo Sasa Makonda anasema serikali ianze ujenzi ndani ya miezi mitatu π maigizo haya Ni makubwa sana eti na Daraja kanoni lipanuliwe wakati mkandarasi Yupo kazini kitambo
Hahaha, tena aliumia vibaya sana πππAnachokifanya ndicho alichotumwa kukifanya!! Wenye akili zao wanajua hivyo!! Kuna nguvu kubwa sana nyuma ya Makonda. Ukimwingia kichwa kichwa utaumia kama alivyoumia Nape mwaka ule!!