Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Huko vyuoni Lecturer theatres zinavyojaaga na kubanana sijui itakuwaje!
Sipati picha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipati picha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji818][emoji123]Na Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.
Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee
Kiukweli hali bado haijatengemaa kuweza kuwapa watu uhuru wa namna hiyo..
Utaona sasa maiti zitaanza kuokotwa Club.
Napinga hapo, kwani mpka sasa zimeokotwa maiti ngapi mtaani!?, achana na za mtandaoni!.Kiukweli hali bado haijatengemaa kuweza kuwapa watu uhuru wa namna hiyo..
Utaona sasa maiti zitaanza kuokotwa Club.
Tutaamini hayo atuambiayo tutakapomuona Jiwe amerejea Magogoni au Chamwino kuendelea kuchapa kazi...Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19...
You made my day mkuu.. hahahaaaWasukuma wa awamu hii wakiendelea kuswaga ..............!
Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19.
Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià Corona Dar warudi haraka kwani kifo hakikimbiwi.
Chanzo: Global TV Online.