Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

[emoji818][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza wenge mkuu

Maiti ziokotwe vip

Huu ugonjwa naona washauchukulia kawaida

Sio viongozi tu hadi wananchi

Wanaoishi waishi, watakaopita watapita

Lazima shughuli ziendelee
Kiukweli hali bado haijatengemaa kuweza kuwapa watu uhuru wa namna hiyo..
Utaona sasa maiti zitaanza kuokotwa Club.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaamini hayo atuambiayo tutakapomuona Jiwe amerejea Magogoni au Chamwino kuendelea kuchapa kazi...

Bila hivyo tutajua hiyo ni as usual blah blah zao
 
Duh, haya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…