Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mzee JK alituasa, za kuambiwa changanya na za kwako. Tumsikie tu Makonda alichosema, lakini wananchi tuchukue hatua kujua kuwa kuumwa ni sisi na kufa tutakufa sisi.Huyu mtu ni wa kumpuuza, Corona ipo na inaua.
Huu ushauri wa kipumbavu atakaye ufuata basi atakuwa ni mpumbavu zaidi ya wapumbavu wote duniani.
Na wale wanaojiuza waende watupu kabisa haina shida amri isharuhusiwaAkiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19...
Mkuu itabidi ubadili na id yako maana sanitaiza ziwekwa kando hahaa
Ngoja nifikirie
barakoa na nyungu zitahusika sanaHuko vyuoni Lecturer theatres zinavyojaaga na kubanana sijui itakuwaje!
Sipati picha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Viva rais, Viva Makonda. Sasa nimeamini kweli kiongozi wetu ameletwa na Mungu. Hivi kwanini hayo maombi ya siku 3 tusiombe na chakula kishushwe tu tuachane na kufanya kazi kwani ajira zenyewe hakuna.Rais Magufuli ni nahodha bora ametuvusha salama kwenye corona.
Vibaraka wa mabeberu wanaenda kuaibika vibaya.
barakoa na nyungu zitahusika sana
Wanakwambia rudini makazini, fungueni biashara zenu, nendeni beach mkakusanyike hali ni shwari ila chukueni tahadhari kama wizara ya afya inavyotaka!!! Umeelewa nini? Za kuambiwa changanya na zako.Kwahivyo corona imeisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiishi Tanzania halaf ukawa na stress ni umejitakia mwenyewe
Viva rais, Viva Makonda. Sasa nimeamini kweli kiongozi wetu ameletwa na Mungu. Hivi kwanini hayo maombi ya siku 3 tusiombe na chakula kishushwe tu tuachane na kufanya kazi kwani ajira zenyewe hakuna.